Companion For Hire

Kabisaa, or else ingekuwa vichekesho humu.. ukitaka kujua kuna machizi freshy jaribu kujiengage na watu bila kuchagua, utawaelewa why wazungu wako makini sana na taarifa zao binafsi! kuna psycho wanapelekesha!
This happened to me , Nilidate na psycho , Seran hakuna Rangi Niliacha ona, na ako na ADHD , to a pointtu anaweza vidonge , Anajikata Ili kupata attention na kuni keep under her thumb,
Manipulation and blackmails za kutosha
 
Aisee pole sana hawapishani na narcists nilipata mmoja naona chacters hazipishani! Aisee hao watu wanaweza kukuletea trauma mbaya usiheal any sooner! picha linaanza wanakuja na reverse psychology! Mimi nikiona tu mtu anaanza kulalama lalama kwenye mahusiano namkataa on spot na sigeuzi shingo, yani nikiona dalili hata moja hiyo ni red flag kwangu sipotezi muda!
 
Kwani vijana wa kike nao hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…