Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Zenj siyo nchi i wazenj waendelee tu kulala usingizi wa pornooo wakiamka wale shurubati na urojo saafiii

Ni Kweli Sio Nchi lakini hii Ni too much, kuna Marais wengi wamekaa kwenye Urais Zanzibar haikuwahi kutokea Haya. Kwa Hapa alipoanza Na hii Ndio Safari yake ya mwanzo tangu Ashinde kwa kishindo. Arudi ajitathimi, uchaguzi wa Zanzibar dunia umeuona, Hapa yupo Comoro Je akenda Nchi nyingine itakuaje.Mh Rais alianza kupata msusuko kwenye Bunge Sasa kumbe Sio ya kupita.
 
huyu mzee anajuta kuingizwa kibabe kwenye serikali. bila shaka anatamani hii miaka mitano iishe haraka atoke madarakani
 

Acha utoto na upompompo Ndi ndi ndi wee
 
Masikini weee km mm ningeondoka hapohapo ningejifanya na naudhuru tuu duu aibu sana
 
nimesikitika.........yaani Rais anawekwa kwenye bomba!!! angalia picha, hawezi kujiegemeza kwa kuogopa kujibamiza kwenye bomba.
mlinzi wake kakosa pa kusimama!!.
Aibu nyingine tunajitakia..........usiniulize kwa vipi
 
Hata huyo mlinzi wake kwenye hiyo picha anaonekana kama anamuuliza muheshimiwa vipi kulikoni uko huku?
 
Hadi ADC wake kakosa kiti hadi kasimama.
 
Naona huu uzi manyumbu yanafarijiana kweli....

Ila ukweli unabaki palepale Shein ndio rais wa Zanzibar hutaki kufa....
 
Dah, unfairly treated, hasa ukiangalia namna BG anavyo husle kumtuliza, nadhani hii ni dharau ya hali ya juu no matter what.....mtu ana BG unamuweka Last corner na nyuma yake kuna watu..vip usalama wake...?
Anyways......lazima kuna kitu anakumbuka....
 
Acha ulofa wewe! So wavunje protocol zao kwa kuwa uliwapa msaada wa kijeshi na chakula? Wewe ndio type ya wale watu mnaowasidiaga wadogo zenu halafu mnawadhalilisha, yaani kwa kauli yako wewe ndio unapenda kwa kuwa unamsaidia mdogo wako basi utembee na mke wa mdogo wako nae akae kimya! Shenzi kabisa wewe
 
Asante sana mkuu wa itifaki ya hiyo hadhara ama hakika umeikonga mioyo ya wananchi wengi wa Zanziberi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…