Community Airline: Nini kiliwasibu?

(Community Airline)Hivi hii kampuni ya ndege ya Usafirishaji iliishia wap? Mwenye taarifa zozote

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mkuu' kwa sababu ya sheria zetu mbovu, kila baada ya miaka mitano haya makampuni ya kitapeli yana badilisha majina, na maboss wa kwa kupasiana, eti kisa hawakupata faida. Kama unavyojua sheria za uwekeza zinawanufaisha viongozi wakishirikiana na hao jamaa wanao jiita wawekeza kwa KUKWEPA KULIPA KODI.
 
Isnt it first jet?

Fly 540, community Airline, wanatumia majina tofauti ili kukwepa KODI, na viongozi wetu wapo wamebweteka, bilashaka wakurugezi wazawa wanashirikiana na hao wahujumu uchumi kuiteketeza Tanzania
 
Back
Top Bottom