Nina rafiki zangu kadhaa Wazanzibari (Kama wanavyopenda kujitambulisha), na mara zote katika majadiliano nao wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote uwepo wa muungano, na comment zao nyingi kuhusu Watanganyika (Aghalabu sana kwa Mtanzania bara kujitambulisha hvyo) ni negative na zenye dharau nyingi. Natoa mfano wa comment hii ambayo nimeikuta facebook:
"....hao ni washenzi kama hao watanganyika wanofanya sherehe zao wakati sisi wazanzibar tunamsiba mkubwa kiasi huu jeee huo muungano wanousifia upo wapi washenzi wakubwa watanganyika."
Je, undugu kati ya "Watanzania" na Wazanzibari bado ni wa "dhati" kama "ulivyokuwa hapo mwanzo"?
Mimi nadhani sasa ifike wakati nyie viongozi wetu muwe wazalendo, ifike wakati kura za maoni zipigwe KUUKATAA au KUUKUBALI muungano, na kama Tunaukubali tuseme UWEJE?
Angalizo;
Thread hii ina haki ya kuwepo hapa!
Mkuu mbona unajihami. Mawazo yako mbona mazuri tu lakini kujihami kwako kunanitia mashaka. Ungetupa na source ya hiyo comment nasi tukajionea.
hata sisi hatuutaki..Kwani hao wanaoitwa "washenzi" wanautaka huo muungano?
Kwani hao wanaoitwa "washenzi" wanautaka huo muungano?
Nina rafiki zangu kadhaa Wazanzibari (Kama wanavyopenda kujitambulisha), na mara zote katika majadiliano nao wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote uwepo wa muungano, na comment zao nyingi kuhusu Watanganyika (Aghalabu sana kwa Mtanzania bara kujitambulisha hvyo) ni negative na zenye dharau nyingi. Natoa mfano wa comment hii ambayo nimeikuta facebook:
"....hao ni washenzi kama hao watanganyika wanofanya sherehe zao wakati sisi wazanzibar tunamsiba mkubwa kiasi huu jeee huo muungano wanousifia upo wapi washenzi wakubwa watanganyika."
Je, undugu kati ya "Watanzania" na Wazanzibari bado ni wa "dhati" kama "ulivyokuwa hapo mwanzo"?
Mimi nadhani sasa ifike wakati nyie viongozi wetu muwe wazalendo, ifike wakati kura za maoni zipigwe KUUKATAA au KUUKUBALI muungano, na kama Tunaukubali tuseme UWEJE?
Angalizo;
Thread hii ina haki ya kuwepo hapa!
Pamoja na kuwa hurumia Wazenj kwa maafa yaliyowafika(Zanzibar ni Nchi ati), hii ni nchi tofauti kabisa na walielewe hilo.
<br />Mungu ndio wanatakiwa wamwogope sio wanadamu. yatawakuta siku zao zikifika