Common Zanzibaris: Hivi ndivyo wanavyouona Muungano?

Omr upo? Umeona unavyotuboaga na stori zako eeh? HATA WEWE UNA TABIA HIZO HIZO, HUWA UNATUUZI SANA WEWE MTU! kwa udini upo, kwa umagamba upo duh! Hata ulivyoandika matusi hayakosi, mnauzi sana watu wa namna yenu!
Mzenji mmoja hawakilishi zanzibar nzima, msitake kuleta chuki ya kijinga hapa. Mtu na akili zake hawezi kuleta stori za facebook hapa.

Dr. Mvungi ashawahi kusema kwamba "muungano ni mgonjwa mahututi ambaye yuko icu huko wenye mgonjwa wakibisha pa kuzkwa na kupingana vikali endapo atakufa" dr mvung anaendelea kusema kwamba kabla mgonjwa hajafa tujadir kwa kumzika na ni vema iwe bila vurugu pia anasema kuwa kwa sababu muugano unatikiswa kwa ugunduzi wa mafuta ipo siku watagundua dhahabi na kuleta dhahama kubwa, kwa hyo ni vema muungano uvnjwe na tuwaachie nch yao kwa usalama!

Hizi chuki miongoni mwetu zitazidi kukua, na hii inasababishwa na uongozi goigoi wa CCM. Kama kungekuwa na uwiano sawa wa maendeleo kati ya pande hizi mbili wala kelele zisingepata nafasi.

Wa zenji watambue kuwa siyo kwamba huo muungano ndiyo tumeuzia saaaaana kama kufa na ufe hatutaadhilika hata kama ni hasira lazima wajue namna ya kuzicontro, Voda siyo wanao simamia muungano kosa ni la Voda, LUNDENGA na WIZARA husika sasa kwa nini kurusha MITUSI ya ajabu tatizo shule hawana ndiyo maana wanatukana tu pasi kujua adhari za matusi yao

Nina rafiki zangu kadhaa Wazanzibari (Kama wanavyopenda kujitambulisha), na mara zote katika majadiliano nao wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote uwepo wa muungano, na comment zao nyingi kuhusu Watanganyika (Aghalabu sana kwa Mtanzania bara kujitambulisha hvyo) ni negative na zenye dharau nyingi. Natoa mfano wa comment hii ambayo nimeikuta facebook:

"....hao ni washenzi kama hao watanganyika wanofanya sherehe zao wakati sisi wazanzibar tunamsiba mkubwa kiasi huu jeee huo muungano wanousifia upo wapi washenzi wakubwa watanganyika."

Je, undugu kati ya "Watanzania" na Wazanzibari bado ni wa "dhati" kama "ulivyokuwa hapo mwanzo"?
Mimi nadhani sasa ifike wakati nyie viongozi wetu muwe wazalendo, ifike wakati kura za maoni zipigwe KUUKATAA au KUUKUBALI muungano, na kama Tunaukubali tuseme UWEJE?

Angalizo;
Thread hii ina haki ya kuwepo hapa!
Labda nikuulize wewe msiba wa nguguyo sii msiba wako? Hivi kweli ndugu yako akifanya sherehe za nyumbani kwake baada ya wewe kufiwa utamtazama vipi?.. na utamwelewa vipi!.. Kama Wazanzibar wametutukana matusi yote hayo wana kila haki kwa sababu sisi washenzi kweli..
Kama tamasha hilo lingekuwa kumtafuta Miss Voda ingekuwa sii hoja nzito isipokuwa huyu Miss ni mwakilishi wa TANZANIA, Zanzibar ikiwakilishwa pia..

Mizenj huwa ni minafki tu by nature. Ina mapepo ya ubaguzi hii mijamaa. Ifatilie mambo yao mjengoni na vyuoni ndo utanifaham vizuri.

Naona unajichanganya tu na wewe. Ukisema WATANZANIA na WAZANZIBAR maana yake unaongelea WATANGANYIKA, WAZANZIBAR na WAZANZIBAR. Kwani hakuna Watanzania nje ya muungano wetu na ukiondoa muungano kuna Watanganyika na Wazanzibar.

Kwa hesabu rahisi:

Watanzania = Watanganyika + Wazanzibar

Watanzania - Wazanzibar = Watanganyika

Watanzania - Watanganyika = Wazanzibar.

Sosi ni facebook labda useme ailete nzimanzima,,,,,lakini kutokuja kwa sosi si sababu ya kutochangia,,,,maana hata alichokieleza ni kilio cha kawaida cha wazanzibari,,,,,,so kama hawautaki basi waachwe,kwani tatizo liko wapi,hata watanganyika wa kawaida weeeengi hatunufaiki na HAKA KAMUUNGANO-FAKE
Mkuu mbona unajihami. Mawazo yako mbona mazuri tu lakini kujihami kwako kunanitia mashaka. Ungetupa na source ya hiyo comment nasi tukajionea.

Wanafunzi wangu wananlalamikia kuwa darasan kuna ubaguzi baina ya wapemba na wabara,ila wapemba ndio hawataki kushirikiana na wenzao,,,,japo nazungumzia suala la ubaguzi lakin wapiiii,
Mizenj huwa ni minafki tu by nature. Ina mapepo ya ubaguzi hii mijamaa. Ifatilie mambo yao mjengoni na vyuoni ndo utanifaham vizuri.

Wazanzibari ni mzigo kwa Watanganyika, ngoja siku tukiwabwaga ndo mtajua kwamba tuliwabeba sana. You don't know what you have until you lose it

Labda nikuulize wewe msiba wa nguguyo sii msiba wako? Hivi kweli ndugu yako akifanya sherehe za nyumbani kwake baada ya wewe kufiwa utamtazama vipi?.. na utamwelewa vipi!.. Kama Wazanzibar wametutukana matusi yote hayo wana kila haki kwa sababu sisi washenzi kweli..
Kama tamasha hilo lingekuwa kumtafuta Miss Voda ingekuwa sii hoja nzito isipokuwa huyu Miss ni mwakilishi wa TANZANIA, Zanzibar ikiwakilishwa pia..

Tusipotoshe ukweli Vodacom haiwalikilishi maoni ya watanganyika, watanganyika wengi tumehuzunishwa sana na ajali iliyotokea. Nashauri wazanzibar wasielekeze hasira zao kwa watanganyika wanachopaswa kufanya ni kususia huduma za Vodacom, hii kulalamika Bara tulifanya sherehe haina mantiki yeyote ile, inawezekana jeuri ya Vodacom inatokana na Bodi ya wakurugenzi imejaa wanasiasa wa CCM lingine wanaloweza kufanya ni kuisusia CCM kwa kutoipigia kura, CCM imejijengea mazingira ya kuwakumbatia wafanyibiashara wasiojali maisha ya watanzania, hii kusema jirani akifiwa haina mantiki yeyote wapo watu wamewahi kupata misiba na walendelea na sherehe za arusi kama kawaida.
Chama
Gongo la Mboto DSM

That was one of the functions in Tanganyika on that Day...

Rais wetu alikuwa Kenya akakimbilia Zanzibar na shughuli nyingi

Ajali ilitokea Usiku wa Jumamosi Tarehe 10 na ndio usiku huo huo Miss Tanzania ilikuwa inafanyika inaonyesha.

Siko Bongo lakini ni kweli? kuwa Jumamosi ya Sherehe Usiku ndio Meli ilizama?

** Nimesoma News from MSNBC inasema Meli ilizama Jumamosi Usiku saa 7 usiku

From MSNBC News
MSN
"At 1 a.m. on Saturday, it sank in an area with heavy currents in deep sea between mainland Tanzania and Pemba Island. Boats frequently traverse the route, but travel times vary depending on the vessel."

Labda nikuulize wewe msiba wa nguguyo sii msiba wako? Hivi kweli ndugu yako akifanya sherehe za nyumbani kwake baada ya wewe kufiwa utamtazama vipi?.. na utamwelewa vipi!.. Kama Wazanzibar wametutukana matusi yote hayo wana kila haki kwa sababu sisi washenzi kweli..
Kama tamasha hilo lingekuwa kumtafuta Miss Voda ingekuwa sii hoja nzito isipokuwa huyu Miss ni mwakilishi wa TANZANIA, Zanzibar ikiwakilishwa pia..

Hapa ebu tuongee kwa bila kutawaliwa na hisia zetu kwa ndugu zetu waliopoteza maisha bali tuwe realistic!

Hivi Mashindano ya Miss Tz ni sherehe? Na kama kuna dateline ya kuwakilisha jina la mshiriki je ni haki kusitisha shindano kwa vile tu kuna msimba?

Tukumbuke baada ya msiba maisha yetu lazima yendelee; watu walio katika hiyo industry ya urembo tutakuwa hatuwatendei haki endapo watapoteza nafasi ya kushiriki mashindano ya dunia. Je wewe ukifiwa na mzazi wako na wewe ni mfanyabiashara umeagiza mzigo ndo uko mpakani unashughulikia clearence utauacha kwenda msibani ili mzigo upotee au utahakikisha mzigo huo unawekwa salama na baada ya hapo ndiyo uende msibani?

Ukijiuliza maswali hayo na kupata majibu bila kutawaliwa na hisia utagundua nini Vodacom na Lundenga wake walitakiwa kufanya!

Mungu awarehemu waliopoteza maisha yao kwa ajali ya MV spice Islander.

View attachment 36995
Kwa wale wanaotaka chanzo!
Here is the proof Ajali ilitokea Jumamosi Usiku wa Tarehe 10 usiku ambao Miss TZ ilikuwa inafanyika

* At 1 a.m. on Saturday, it sank in an area with heavy currents in deep sea between mainland Tanzania and Pemba Island. Boats frequently traverse the route, but travel times vary depending on the vessel.

Kidogo, mimi huwa inanipa shida sana ninapoona ndugu zangu wa Zenji wanaji-identify zaidi kama wa Zanzazibar kuliko Watanzania. Hivi hii inamaanisha nini? Is it ok?

Wazenji wana matatizo yao tu mengi, ni watu wa kuonea huruma!!! Matusi na mapovu yaliyomtoka huyo jamaaa ni uwezo wake mdogo wa kuangalia mambo kwa nje...

Mkuu, issue ya muungano ni ya kichama zaidi (Kiserikali), hao common Zanzibars wanasema mengi sana na mengine hayafai hata kuyaweka hapa. Lakini hata wakisema na kutumia lugha kali na matusi bado uwamuzi wa mwisho utabakia kwenye baraza la wawakilishi, ambao wengi wao wapo kwenye bunge la Muungano, na sidhani kama wapo tayari kuuvunja huu Muungano, na hata ikitokea leo hii, waitishe kura ya maoni, bado wengi watachagua kubakia kwenye Muungano.

Naona unajichanganya tu na wewe. Ukisema WATANZANIA na WAZANZIBAR maana yake unaongelea WATANGANYIKA, WAZANZIBAR na WAZANZIBAR. Kwani hakuna Watanzania nje ya muungano wetu na ukiondoa muungano kuna Watanganyika na Wazanzibar.

Kwa hesabu rahisi:

Watanzania = Watanganyika + Wazanzibar

Watanzania - Wazanzibar = Watanganyika

Watanzania - Watanganyika = Wazanzibar.

Usisome maandishi kama namba!!...tazama vizuri nilivyoliweka hilo neno "Watanzania", hizo alama zina maana yake hapo!! Usiwe mzembe ndugu.

Back
Top Bottom