Common Sense ni unazaliwa nayo au unasomea?

LellozWho

Member
Jul 13, 2021
89
121
Nikaskiza redio (Efm)
Tarehe 10/08/2011

Sababu ya kwanini mabasi ya express kushindwa kufika mapema kama ahadi walizotoa.

kiongozi mmoja kutoka ofisi za wanaohusika na usafiri wa barabara aliulizwa na akatoa sababu zifuatazo:

1/ KUEPUSHA KUTEKWA
Mabasi yote lazima yasubiriane vituo fulani ili yaongozane.

2/UBOVU WA MALORI YA MIZIGO
Nanukuu “malori mengi yanaFeli break sasa mabasi yanakua hatarini ndio sababu yanasubirishwa yatoke kwa wakati mmoja.

COMMON SENSE NI UNAZALIWA NAYO AU UNAENDEA SHULE?
 
Common sense ni uwezo wa kutambua, kuchanganua na kufanyia kazi masuala anuwai katika maisha ya kila siku. Kwahiyo tunaweza kusema common sense mtu unazaliwa nayo (kama ukizaliwa na akili tumamu). Lakini hata kama hauna common sense unaweza kujifunza kwa wengine.

Kuhusu huyo kiongozi na sababu alizotoa mimi sijui.
 
Back
Top Bottom