Commissioner Wa customs TRA

Commissioner Wa customs TRA

Joined
Apr 5, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Habari zilizomfikia Private Candidate zinaonyesha kuwa aliyewahi kuwa Katibu MKUU Wizara ya Afya mrs Blandina Nyoni naye anawania nafasi hiyo tajwa huku hata interview hakufanya Kwa kujaribu kupitia mgongo Wa Kigogo mmoja Wa awamu ya tatu. Mwenye taarifa zaidi atujuze
 
Integrity yake ni questionable


Kwani uchunguzi wa tuhuma zake umetolewa; otherwise how do you reach that conclusion? Tatizo lenu nyie vilaza hampendi watu wachapa kazi kwani wanawabania wizi wenu kama huyu mama alivyowafanyia wezi pale wizarani!!
 
Wewe si ndo umeleta hii taarifa? Sasa unataka nani akupe taarifa zaidi? Hata hivyo ni haki yake kuomba hiyo nafasi. Mkuu unamwogopa nini kwenye huo usaili?
 
LUHANJO PHILEMONI alikuwa mtu wa ovyo sana yeye ndio god father wa blandina nyoni,Maimuana Tarishi (katibu mkuu malia asili wa sasa) , yule mkurugenzi wanyama pori aliyefukuzwa ( mbando na kisha kurudishwa) hawa watumishi wa umma wana kiburi balaa sababu ya huyu mtu wa njombe LUHANJO
 
Issue ni kuwa she didn't apply like others
No she didn't undergo any interview

Mkuu Private Candidate naomba nikurekebishe hiyo lugha ya watu uliyotumia, samahani lakini 'Issue ni kuwa She didn't apply like others Nor did she undergo any interview' au ungeweza kusema 'Issue ni kuwa 'She neither applied like others nor underwent any interview'
 
Back
Top Bottom