Commission Agent (ARUSHA, MWANZA, MBEYA, DODOMA, MOSHI)

JAY2da4

JF-Expert Member
Nov 11, 2008
213
156
Commission Agent Wanahitajika (ARUSHA,MWANZA,MBEYA,DODOMA,MOSHI) .

Sifa ;

-Awe na kampuni iliyosajiliwa .
-Awe na ofisi karibu na barabara .
-Ofisi iwe na internet .
-Kwa mwenye huduma za internet cafe itakua ni vizuri zaidi.


Kwa maelezo zaidi,ni pm au piga simu namba : 022 277 1316
 
Mdau weka taarifa lukuki, je ni maeneo ya mijini tu ya hiyo mikoa?, biashara gani na vitu vingine muhimu
 
Back
Top Bottom