Commentary: Majibu ya Ester Bulaya kwa Lijuakali

Nimeamgalia clip yake youtube, dada kaharibika kabisa kihoja, anaonekana anaongea kama actor tu. Maneno hayaendani na body language ila anafosi.
 
Huyo hata hajielewi anajifaragua tu aonwe na mfalme.

Asidhani yeye ndiye lapdog wa kwanza wa Mbowe, wengi tu walikuwa wanajibaraguza hivi na mwisho wametoka kwa fedheha na kejeli juu.
 
Hiyo CCM yenu imekaa muda mfupi madarakani? Hizo akili zenu mlizoshikiwa na Polepole unaona ziko sawa? hizo ruzuku mnazopewa ccm huzioni? Na zinakaguliwa na nani matumimizi yake? Hao mabuzi weni waliochoka kifikra hauwaoni? Kama huna cha kuongea Kukaa kimya ni busara pia,
 
Nimesoma kidogo nikaacha baada ya kugundua kuwa umeandika upuuzi
 
Inaelekea neno "accounting officer " hulielewi. Nahisi unadhani ni mhasibu.

Amandla...
 
Wangwe, Regia waliuwawa wakikiwa na vijana wa chadema
..Mh.Lijualikali ahame tu.

..lakini habari ya kusema ccm ina demokrasia ni utumbo.

..Mh.Bashe alitekwa wakati akihudhuria vikao vya ccm.

..sasa ambacho wanachama wake wanatekwa wakati wa vikao ndicho Lijualikali ameamua kujiunga nacho akidai kina demokrasia kuliko cdm.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Posti ya kejuu ni moja ya ushahidi kuwa washindani wa cdm, hususan m/kiti wake wanapata taabu sana. Kinyume na madai yao kuwa CHADEMA imekufa.

Mbowe asiteme mate; wapo wanayafuatilia.

Kwa miaka zaidi ya 5 wakati wakitumia vyombo vya dola kuwanyanyasa viongozi na wafuasi wa Chadema, wao wamekuwa wakiimba "hapa kazi tu" SGR, stijilas goji, "haijawahi kutokea tangu nchini ipate uhuru" nk.; hofu inatoka wapi?
 
Kwa vyovyote mtoa mada kwa akili yako unafikili kwamba Lijuakali Ana uzalendo na mapenzi mema kwa wananchi wake kuliko Njaa yake? Wanasiasa njaa njaa wasitake kutofool sisi, tunajua njaa zao ndiyo domo lau!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme machache kuhusu rafiki yangu Lijualikali. Nimeona baadhi ya wafuasi wa Chadema wakimshambulia baada ya kueleza kuwa hana mpango wa kuendelea tena na chama hiki baada ya bunge hili kuisha, na kwamba atahamia CCM na ameomba apangiwe kazi yoyote hata kama ni ya ulinzi au kufagia. Yupo tayari. Lakini si kuendelea kubaki Chadema.

Pengine Lijualikali ameshambuliwa sana kutokana na kutoa tuhuma zisizokua na ushahidi, pamoja na kashfa kwa chama chake cha zamani (Chadema) kilichomlea na kumkuza kisiasa. Hata hivyo si kosa kwa Lijualikali kuhama chama, kama ambavyo haikua kosa kwa Nyalandu kuja Chadema au Maalm Seif kwenda ACT.

Kila mtu ana haki na uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa akipendacho na ambacho anaamini katika falsafa na itikadi yake. Hata Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba yake wala mama yake, licha ya kwamba yeye ndiye aliyeiasisi.

Kwahiyo Lijualikali hakua na sababu ya kutoa kashfa kwa Chadema ili apate uhalali wa kuondoka. Angeweza kuondoka tu kistaarabu na isingekua dhambi. Nobody knows what tomorrow hold for us.!

Anyway. Watu wengi wamemtaka akumbuke chama kilikomtoa. Wengine wameeleza maisha binafsi ya Lijualikali kuwa kabla ya ubunge alikuwa akiishi chumba kimoja (hichohichio sebule, chumba, stoo, jiko). Wengine wakamkumbusha fedha za kampeni alizopewa na Mbowe. Wengine wakamkumbusha kipigo alichopewa na polisi na kufungwa jela miezi sita kwa sababu ya CCM haohao ambao leo anawaona wema.

Lakini hizo zote ni "personal attacks" kwa Lijualikali. Kwangu hazina maana yoyote. Lijualikali kukosa mahali pazuri pa kujisitiri kabla ya ubunge ni maisha ya kawaida kwa watanzania wengi. Hata hivyo umaskini haumuondolei mtu sifa ya kuwa kiongozi. Huko Bulgaria kuna mtu alipigiwa kura akawa mbunge akitokea barabarani (homeless man), bora hata Lijualikali aliyekua na chumba kimoja.

Kwahiyo nadhani tujikite kwenye hoja alizotoa badala ya kumshambulia mtoa hoja. Lijualikali alitoa hoja tatu. Ya kwanza alisema ndani ya Chadema maamuzi hufanywa na mtu mmoja tu ambaye ni Mwenyekiti. Ya pili wabunge kuchangishwa michango bila utaratibu. Ya tatu ni matumizi mabaya ya fedha za chama.

Hoja hizi zinapaswa kujibiwa kwa urari na uyakinifu ili kuondoa shaka miongoni mwa watu waliomsikiliza. Lakini kumshambulia yeye binafsi (personal attack) sio sawa kwa sababu wananchi watakosa majibu ya hoja hizo na huenda wakaziamini hata kama ni za uzushi.

Mimi nimejipa ‘assignment’ kidogo na ningependa kutumia wajibu wangu kama mwanachama hai wa Chadema (kwa miaka 13 sasa) kujibu hoja hizo tatu za rafiki yangu Lijualikali.

#Mosi; Maamuzi ya chama kufanywa na mtu mmoja. Lijualikali anadai maamuzi ya Chadema hufanywa na Mwenyekiti na watu wake wa karibu bila kushirikisha vikao halali vya chama. Ili kujenga msingi wa hoja yake akasema hata maamuzi ya wabunge kujiweka karantini, yalikuwa maamuzi binafsi ya Mbowe.

Hoja hii si kweli hata kidogo. Hakuna chama kinachofanya maamuzi shirikishi kama Chadema. Tanzania inajua hata wananchi ni mashahidi. Kwa mwaka huu Kamati kuu ya Chadema imeshakutana zaidi ya mara 5 kujadili na kufikia maamuzi juu ya mambo mbalimbali.

Nitajie chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho kamati kuu yake imeshakutana mwaka huu angalau mara mbili. NCCR imekutana mara moja, TLP mara moja, CCM mara moja, ACT sina taarifa, CUF haijakutana kabisa.

Ukimuita mtoto mdogo ukamuuliza swali rahisi la logic kwamba kati ya chama ambacho Kamati kuu yake imekutana zaidi ya mara 5 mwaka huu, na chama ambacho kamati kuu yake imekutana mara 1 tu, kipi kinachofanya maamuzi shirikishi atakujibu bila tashwishwi. Lijualikali ameshindwaje kujua logic rahisi namna hii?

#Pili Wabunge kuchangishwa fedha kila mwezi. Lijualikali anadai wabunge wanachangishwa bila utaratibu na kwamba hakuna maelekezo ya KATIBA wala miongozo ya chama inayomtaka mbunge kuchangia, badala yake ni mawazo ya Mwenyekiti yaliyoamua hivyo.

Hii ni hoja mufilisi sana. Lijualikali kitaaluma ni mwanasheria, na bila shaka alisoma sheria ya katiba (Constitutional Law) alipokua anafanya shahada yake pale Chuo kikuu Tumaini. Sasa najiuliza alishindwaje kusoma Katiba ya Chadema kuhusu utaratibu wa kuchangia? Maana utaratibu huo umeelezwa kwenye Katiba sehemu ya Miongozo ya Chama, Wajibu wa mbunge kifungu cha 7 (a) na (b) vikisomwa kwa pamoja.

Ina maana Lijualikali amekuwa mbunge kwa miaka mitano bila kuona kifungu hicho? Au katiba kwake ni pambo tu? Haisomi? Hajawahi kuuliza hata wenzie kwamba kwanini tunachangia wakampa hicho kifungu asome? Kama ni kweli amechangia fedha kwenye chama kwa miaka mitano bila kujua kama ni wajibu wa kikatiba basi hana sababu ya kuendelea kubaki Chadema. He has proven to be a low minded person.

Mtu kama huyu akipewa uwaziri si anaweza kuingia mikataba ya ajabu dunia ikashangaa? Kama katiba ya Chadema yenye kurasa 200 imemshinda kusoma kwa miaka mitano, nini atasoma aelewe? Mikataba ya madini yenye kurasa 4,000 zilizoandikwa kwa kiingereza kigumu cha Ulaya vijijini?

#Tatu ni kuhusu matumizi mabaya ya fedha za chama. Lijualikali anadai fedha zinatumika vibaya. Anahoji ruzuku na michango ya wabunge kila mwezi. Lijualikali anatumia fursa hiyo kupotosha kwamba wabunge walipokuwa wakichangia waliambiwa fedha hizo zitawasaidia wakati wa kampeni. Lakini walipoenda kuuliza wameambiwa hazipo, zimetumika. Anahoji zimetumikaje?

Kwa lugha rahisi ni kwamba Lijualikali anamaanisha kwamba wabunge hukikopesha chama, halafu wakikaribia kampeni chama kinawarudishia fedha zao. Kwahiyo wameanza kuziulizia kwa sababu kampeni zimekaribia.

Hii ni hoja ya UONGO kabisa yenye nia ovu. Katiba ya chama inasema wabunge watachangia kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa chama. Sio ili warudishiwe wakati wa kampeni. Mwambieni asome Katiba vizuri.

Pesa zinatumika kwenye shughuli za ujenzi wa chama kama vile operesheni mbalimbali, mikutano ya hadhara, vikao vya ndani, ununuzi wa vyombo vya uenezi kama magari, bendera, kadi, kulipia ofisi za chama ngazi ya kanda, mikoa etc.

Mwaka jana Chadema ilinunua magari mapya 20 (zero KMs) aina ya Ford Ranger kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa chama. Na magari hayo yalienda hadi Ifakara kumsaidia Lijualikali kwenye zoezi la Chadema ni Msingi. Leo anasema hajui fedha wanazochangia zinakwenda wapi. So funny.!

Halafu kama kweli hoja ya Lujualikali ingekuwa na mashiko basi CAG angeshawapa Chadema hati chafu kwa ubadhirifu wa fedha. Lakini kila mwaka CAG anapita na kukagua hesabu za chama anaridhika.

Mwaka juzi ndio chama kilipata doa kidogo kilipomkopesha mbunge mmoja 140M kwa ajili ya kununua gari. Na bahati mbaya CAG hakumtaja mbunge huyo, kwahiyo si ajabu akawa Lijualikali . Hata hivyo chama kilifanyia kazi ushauri wa CAG kwa kumtaka mbunge husika arudishe gari hilo, na kwa sasa linatumika kwa shughuli za chama.

Halafu jambo la mwisho Lijualikali analopaswa kujua ni kwamba kuchangia chama si dhambi. Mimi binafsi si kiongozi lakini nimekua nikichangia mara kwa mara shughuli za ujenzi wa chama kupitia majukwaa mbalimbali. Nimewahi kupewa fedha na baadhi ya marafiki zangu (Friends of Malisa) just from nowhere wakaniambia "we kadeposit tu zitasaidia kununua hata bendera maeneo yasiyo na bendera." Imagine that spirit.!

Na sio mimi tu, wapo wengi wanaofanya kama mimi au zaidi yangu kwa sababu ni wajibu wa mwanachama kufanya hivyo (wajibu namba 2 kwenye kadi). Kila mwanachama anapaswa kuchangia gharama za uendeshaji wa chama.

Sasa najiuliza hivi mbunge unayeweza "kutengeneza" karibu 15M kwa mwezi unapata nongwa gani kuchangia just 500K kujenga chama chako? Kwanini roho ikuume? Unajua ni wangapi waliochangia kukufanya wewe kuwa mbunge?

Kuna watu waliamua wasile ili kile kidogo walichonacho wachangie kujenga chama bila kutarajia kulipwa. Chama kikakua na hatimaye umefanikiwa kuwa mbunge kupitia chama hicho. Kwanini roho ikuume unapoambiwa na wewe uchangie kidogo ili wengine wenye ndoto za ubunge kama wewe nao wafanikiwe kama ulivyofanikiwa?

Mbona ndugu yangu Peter umekuwa mbinafsi kiasi hiki? Si wewe uliyewasema wabunge wa CCM kuwa ni wabinafsi sana? Imekuaje kwako tena? Au kwa sababu unajiandaa kwenda huko kwahiyo unaanza kujifunza ubinafsi?

Anyway. Walioileta Chadema Kilombero mwaka 1992 unawajua? U were just 6 years old huwezi elewa labda kama ulihadithiwa. People suffocated bro. Walipambana kujenga chama, kwa jasho na damu. Na pengine wamekufa bila hata kuwa madiwani. Lakini walikujengea msingi ili wewe uje kuwa mbunge kupitia Chadema. Sasa na wewe ukichangia chama kule Newala nako akapatikana Lijualikali mwingine utapoteza nini?

Halafu hata huko CCM unakoenda sio kwamba hawachangii. Wabunge wa viti maalumu CCM wanachangia fedha kwa ajili ya umoja wao (UWT) lakini huwezi kuwasikia wakibweka wala kulialia kama wewe. Ni kwa sababu wana nidhamu na wanajua ni wajibu wao, lazima wautimize. Na wamekuwa wakifanya hivyo miaka yote. Ina maana umeshindwa hata na akina mama wa CCM? Jitafakari!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi ukweli unauma mm sioni kibaya alichoongea.Kuchanganya lugha so tatizo mbona humu ndani wote tunachanganya lugha Cha msingi ni mantiki.uchaguzi si kesho tu watakaokuwa hai watapata majibu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wa Kukimbia kupokea fomu Kama wa serikali za mitaaa, kupita bila kupingwa? Utakuwa na kamasi kwenye kichwa yako badala ya ubongo,
 
Umenena vyema ndugu na kumaliza kila kitu

Ester Bulaya siku hizi anafanya kazi za katibu mkuu
Ukiona chama kinamtumia mtu kama Ester Bulaya kuwa think tank ujue kiama kinakaribia
 
Mabadiliko aliyoleta CCM labda ni kukibadili chama kutoka cha kushawishi watu na kuwa dola. Bila polisi na vyombo vya dola hakuna CCM
 
Ester Bulaya siku hizi anafanya kazi za katibu mkuu
Ukiona chama kinamtumia mtu kama Ester Bulaya kuwa think tank ujue kiama kinakaribia
Hivi Ester Bulaya na kina Bashite nani ana akili?
 
Ndugu watanzania wenzangu,

Natumaini mko salama jioni hii.

Nimejaribu kwa sehemu kufanya analysis zangu kwa ufupi majibu ambayo jana Ester Bulaya alimjibu Lijuakali. Nitajikita zaidi na hizo kauli zake (What do these quotes reflect in reality? ).

“Mbowe ndiyo accounting officer? Ester Bulaya

“Tunajua kwanini Mbowe? Mbowe hawezi kukiuza chadema” Ester Bulaya

Ukitaka kumteka mtu na akawa mtumwa wako, teka fikra zake na mwaminishe hawezi chochote bila wewe. He/she will be your slave forever unless his/her mind got right information. Mbowe is a business man wandugu, business guys are so clever, and they know how to play a right card. And it is really true that this guy has successfully blinded makamanda for so long. Kama kauli hizo hapo juu ndo fikra za kiongozi mwandamizi ndani ya chadema, what do you expect for a merely guy mabonde kuinama kule? To that end, this is a time to act, amukeni makamanda. I like this guy called Lijuakali, he has exposed some sinister actions ndani ya chadema, nahuu ni ujasiri wa hali ya juu sana. Mlivyokuwa mnadai mabadiliko ya 2015, baada ya watu kuchoshwa na CCM, now it is time for you kutaka M4C ndani ya chama, I believe a new Magufuli anaweza kuzaliwa ndani ya chadema na akaleta mabadiliko ndani yenu kama JPM alivyobadili business as usual ndani ya CCM na akalete uhai ndani yake.

Chadema ni chama kikubwa cha upinzani, kina ruzuku ya kutosha, issue inakuja hakuna uwazi wa matumizi ya pesa. Do you know deni ambalo mbowe anakidai chama? What was its source? What if it is a fake deni? Je, Linalipika? Kama halilipiki ,then the guy ataendelea kushika hatamu mpaka mtakapoona chama kinataka kufa, ndiyo akili zitawaingia makamanda.

Ukikuta mtu kakaa muda mrefu sana madarakani, huwa wanakosaga focus sababu fikra zake zitakuwa zimeshachoka na hatimaye atajidhatiti kutengeneza strategies zake ili kulinda interest zake. This is what is happening to Mbowe currently. Mtu yoyote atakayeibuka kuichallenge statuesque ndani ya chama, na akutwe master amezungukwa na viongozi wanaotoa kauli kama hizo hapo juu,truly speaking, ataambiwa msaliti na kanunuliwa yule.

Best regards,

Kejuu
Upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom