Commentary: Majibu ya Ester Bulaya kwa Lijuakali

Commentary: Majibu ya Ester Bulaya kwa Lijuakali

Kejuu

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
644
Reaction score
906
Ndugu watanzania wenzangu,

Natumaini mko salama jioni hii.

Nimejaribu kwa sehemu kufanya analysis zangu kwa ufupi majibu ambayo jana Ester Bulaya alimjibu Lijuakali. Nitajikita zaidi na hizo kauli zake (What do these quotes reflect in reality? ).

“Mbowe ndiyo accounting officer? Ester Bulaya

“Tunajua kwanini Mbowe? Mbowe hawezi kukiuza chadema” Ester Bulaya

Ukitaka kumteka mtu na akawa mtumwa wako, teka fikra zake na mwaminishe hawezi chochote bila wewe. He/she will be your slave forever unless his/her mind got right information. Mbowe is a business man wandugu, business guys are so clever, and they know how to play a right card. And it is really true that this guy has successfully blinded makamanda for so long. Kama kauli hizo hapo juu ndo fikra za kiongozi mwandamizi ndani ya chadema, what do you expect for a merely guy mabonde kuinama kule? To that end, this is a time to act, amukeni makamanda. I like this guy called Lijuakali, he has exposed some sinister actions ndani ya chadema, nahuu ni ujasiri wa hali ya juu sana. Mlivyokuwa mnadai mabadiliko ya 2015, baada ya watu kuchoshwa na CCM, now it is time for you kutaka M4C ndani ya chama, I believe a new Magufuli anaweza kuzaliwa ndani ya chadema na akaleta mabadiliko ndani yenu kama JPM alivyobadili business as usual ndani ya CCM na akalete uhai ndani yake.

Chadema ni chama kikubwa cha upinzani, kina ruzuku ya kutosha, issue inakuja hakuna uwazi wa matumizi ya pesa. Do you know deni ambalo mbowe anakidai chama? What was its source? What if it is a fake deni? Je, Linalipika? Kama halilipiki ,then the guy ataendelea kushika hatamu mpaka mtakapoona chama kinataka kufa, ndiyo akili zitawaingia makamanda.

Ukikuta mtu kakaa muda mrefu sana madarakani, huwa wanakosaga focus sababu fikra zake zitakuwa zimeshachoka na hatimaye atajidhatiti kutengeneza strategies zake ili kulinda interest zake. This is what is happening to Mbowe currently. Mtu yoyote atakayeibuka kuichallenge statuesque ndani ya chama, na akutwe master amezungukwa na viongozi wanaotoa kauli kama hizo hapo juu,truly speaking, ataambiwa msaliti na kanunuliwa yule.

Best regards,

Kejuu
 
'Na tunao wanasiasa wenye tabia ya Kimalaya malaya namna hii, wananunulika, heshima yao inauzwa, ina bei. Unamwambia fanya kitendo kadhaa ambacho ni kitendo cha aibu, lakini anakuuliza ngapi bwana?Ukitoa bei ukimlipa basi, anakubali. Mwanasiasa huyo ana tabia ya kimalaya malaya'-Mwalimu Nyerere(22/06/1967)

Mwl Nyerere aliona Mbali.
 
Chadema ni chama kikubwa cha upinzani, kina ruzuku ya kutosha, issue inakuja hakuna uwazi wa matumizi ya pesa. Do you know deni ambalo mbowe anakidai chama? What was its source? What if it is a fake deni? Je, Linalipika? Kama halilipiki ,then the guy ataendelea kushika hatamu mpaka mtakapoona chama kinataka kufa, ndiyo akili zitawaingia makamanda.
Mawazo yako haya uhalali wowote... tena mawazo ya kichama.ki-CCM
 
..Mh.Lijualikali ahame tu.

..lakini habari ya kusema ccm ina demokrasia ni utumbo.

..Mh.Bashe alitekwa wakati akihudhuria vikao vya ccm.

..sasa ambacho wanachama wake wanatekwa wakati wa vikao ndicho Lijualikali ameamua kujiunga nacho akidai kina demokrasia kuliko cdm.
 
Mara nyingi ukweli unauma mm sioni kibaya alichoongea. Kuchanganya lugha so tatizo mbona humu ndani wote tunachanganya lugha cha msingi ni mantiki uchaguzi si kesho tu watakaokuwa hai watapata majibu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu Sana na limbukeni wa lugha, umeandika nn? ,,Hivi kama unaandika kiswahili andika ukurasa wote na kama unaandika kiengeleza andika chote,,, sio ujinga huu,,, Bora wiki ijayo mrudi tuu chuo
Mkuu upo nje ya point, jaribu kujibu yaliyo wakilishwa ili ulete maana chanya kwenye michango yako. Tujitahidi kujibu kinacho wakilishwa. NEXT TIME
 
Back
Top Bottom