alichoongoe mkeo na shemejio ni ukwel kabisa.. mwanaume akianza kucheat huwa anabadilika, hata ratiba yake ya kurudi home inabadilika, kwa mwanamke makini atahisi tu na ndio sababu ya kuanza kumfatilia mpaka kwenye simu yake.
ukimuuliza mwanaume atafanya kama ulivyofanya kwa mkeo, oh ni rafiki wa kawaida, mara tupo ofc moja, ukibanwa sana utaishia kuomba msamaha lkn ukweli ni huwa hamuwaachi hao wanawake
wanawake wamejikuta na wao wanatafuta wa kuwaliwaza either kwa kulipa kisasi au kujipunguzia hizo pressure na ukiwa. mbaya ni pale atakapompata either anayembembeleza au mwenye maujuzi au mahela kuliko wewe. hamna rangi utaacha kuona aisee.
ongea na mkeo, na muonyeshe kama huna hiyo tabia, otherwise akimaliza kunyonyesha atafanya alichokusudia
I think I love my wife..
Nataka nimuoe niliyemzidi ujanja,nim cheat vizuri!!
Hiyo ngoma draw unaweza bambikiwa mtoto kidume-cheating ya mwanamke ni hatari sana ukiilinganisha na ya mwanaume ambayo haina madhara zaidi ya kuosha tu "rungu"
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.
Venine you said it correctly!!!! Wanawake hatuna tabia ya kucheat by nature......... ila tunafanya hivyo endapo tutagundua wanaume wetu wametucheat na hawakomi kuacha tabia hiyo. Haswa wakiwa na siri kwenye simu,, wakichelewa kurudi nyumbani, alafu dose haipatikani inavyotakiwa........ mbaya zaidi ATM haisomi vizuri......
Yaani Venine umemaliza, like like like!!!!
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.
wazee wa zamani wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani sasa mkuu unatoa siri tena..
ume-generalize mno, wapo wanawake wenye tabia ya kuwa na wanaume wengiwengi hata kama wapo kwenye ndoa. Nawafahamu waume wengi ambao wanaheshimu ndoa zao lakini kwa hao wote wanawake zao ndio ma cheater, na baadhi wameshaambukizwa ukimwi na wake zao, pia wake zao washafariki jamaa wanaishi kwa dawa.
Suala la ku cheat halina mwanaume wala mwanamke, ukitaka kujua hilo ishi kwenye nchi ambazo mwanamke na mwanaume wamepewa uhuru sawa kila mmoja.
My dear Mwekundu, "kitanda hakizai haramu"...... vile umepania kucheat vizuri, ndipo utakapoangukia kwa "somo wa kucheat"
Wanandoa kazi kwenu sina comment mie.
bila kupata kidumu wanawake wenzangu utakufa siku si zako.
solution ni kidumu tena ikiwezekana mkapime kabisa na kidumu awe mtu mzima kidogo ili ukiamua kuacha msianza kugandana.
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.