Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Sio kweli dawa nikufuata maagizo ya Mungu, je!! Anasema nini kuhusu ndoa zetu?.
 
Hahahaaha chezeiya phd wewe? Twende pm kwanza nna umbea wa moto huo, tukidakwa ban ya maisha inatuhusu lol
Wanapenda kuweka watu roho juu, afu wao wakiwekwa roho juu hawana hata vifua kama sisimizi
Mie kwa roho juu nimegradueti
 
mzinzi haendani ila na mzinzi mwenzie.
 
Mentor... Sea Breeze katisha sana eti "can the side mirror stop the engine from driving a car?" hahaha cheka sana ...Soma na Signature yake sasa hahahaha
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:

Well said Venine!! Umesema kweli my best friend! Watoto na mtazamo wa jamii kuhusu kumuacha mume mzinzi endapo mwanamke una kipato kikubwa!
Jamii itakunyooshea kidole na kusema kiburi cha fedha au usomi! So its better ubakie na mzinzi wako huku ukijipooza nafsi na anayekujali pembeni!
 
jirudi mapema toka naye mara kwa mara
 

Aondoke mapema aende wapi? Kama Nyumba kaijenga yeye au kapanga yeye mwanamke aikimbie sababu ya mume kicheche?
Au amfukuze?
Isitoshe unaposema kuna fursa kibao za kujiendeleza huko nje mbona wanawake wengi huko ni maskini wameshindwa nini kuzitumia fursa hizo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…