Comment on this

Comment on this

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
543254_481284205218710_1344657158_n.jpg
 
huo ndio ukweli wenyewe
ukidume sio kua na mademu kibao
mmoja atosha kuonyesha urijali wako!!
thanx englibertm!!

umeonaee ndiyo maana shemejio alishtuka akaamua kuni'wowa' peke yangu, huu ujumbe unamuhusu Bishanga sana, anajiona akiwa na wanawake wengi basi yeye ndiyo kidume..... Kumbe hamna lolote!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wanaume wote wanatakiwa kujua hilo..haswa wale wenye saccoss.teh
 
wanaume wote wanatakiwa kujua hilo..haswa wale wenye saccoss.teh
Join Date : 5th April 2012
Posts : 1,985
Rep Power : 2919
Likes Received1100

atakayekuwa mtu wa 1200 ku like kwako,ntatoa sh 5000 ya muda wa maongezi

Likes Given1649
 
Zaeni mjaze dunia,asema Bwana.
atakaye kuwa wa 8900 kulike any of your comment ntatoa zawadi ya sh 2000 ya muda wa maongezi
Join Date : 29th June 2008
Location : SIRIUS
Posts : 14,309
Rep Power : 61346
Likes Received8864
Likes Given8076
 
umeonaee ndiyo maana shemejio alishtuka akaamua kuni'wowa' peke yangu, huu ujumbe unamuhusu Bishanga sana, anajiona akiwa na wanawake wengi basi yeye ndiyo kidume..... Kumbe hamna lolote!!!

That is my lovely wife!
 
umeonaee ndiyo maana shemejio alishtuka akaamua kuni'wowa' peke yangu, huu ujumbe unamuhusu Bishanga sana, anajiona akiwa na wanawake wengi basi yeye ndiyo kidume..... Kumbe hamna lolote!!!!!!!!!!!!

anajifanya kidume huyo Bishanga
wakati kuhudumia kwamshinda
na yeye anasaidiwa si tabu heri ya
waume zetu wanaomiliki mmoja loooolz!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom