masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,891
- 15,112
Je uliyepita hapa unapatambua?
View attachment 82548
View attachment 82548
Yes when real Men used to wear the trousers in the house!Ati kuna watu wanatamani enzi za ukoloni kuliko zama hizi za kucheka cheka.!!
Enzi za Union Jack, wazee wetu wanatuambia serikali ilikuwa serikali, kodi inakusanywa bila mchezo.Yes when real Men used to wear the trousers in the house!
Tulobhwike malafyale Gwangambo , loli ikisu kifwele isenjele!
Wapi hapo malafyale!!!
Mkuu Mbeya hawana bifu na JK kwani historia inaonyesha kuwa toka 2005 alipata kura nyingi sana za huko.Naona wasokile mmekutana mnapongezana kwa kuuona mwaka mpya!!Bwana maendeleo atakuja kufungua kiwanja chenu cha ndege lini hapo Mbeya? Mwakyembe naona ameona afadhali ndege zianze kutua kwani huyu 'Bwana maendeleo" ana BIFF na watu wa huko, inawezekana hata asije kukifungua hicho kiwanja kwa kuogopa kupopolewa na mawe!!!
Mkuu Mbeya hawana bifu na JK kwani historia inaonyesha kuwa toka 2005 alipata kura nyingi sana za huko.
Bifu lipo kwa yule aliyejiuzulu kwa kuondoa bajeti ya kumalizia ujenzi wa uwanja huo, na hivyo ujenzi kuchukua miaka karibu 10.
Alisemaje mkuu?Inaelekea wengine mmekwisha ingia kwenye laini yake baada ya kuhongwa vyeo; mkweree hawapendi hiyo ni geresha yake ama sivyo yeye na genge lake wasingetaka kuwapoteza!! Ukweli ni kwamba mkweree hawapendi watu wa huko na mimi ushahidi ninao; it will take him a long time to forget what you did to him in 2005 kama alivyokili mwenyewe wakati anawahutubia wanawake wa UWT mwaka jana pale Dodoma.