Where the hell is this? Unbelivable kweli maadili yameporomoka ila sio lazima mtoto asome boarding ndio awe na tabia hizo. Tabia ya mtoto inategemea sana na malezi anayopata nyumbani kuna msemo unasema "tunda halidondoki mbali na mti". Wazazi ni lazima wawe makini sana na vitu wanavyoviona na kuvifumbia macho mara nyingi hivyo huishia kuwa down falls kwa watoto; tunajua wazi "mzaha mzaha hutumbua usaha" na "samaki mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki", haya niliyoyaona katika hii clip labda kama unamuandaa mwanao kujiunga na mugongo-mugongo or one of the kind; otherwise we lost an innocent soul right there, is sad!