Coming to Tanzania... (Watch this clip)

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
189
This is heavy! I hope you can watch the video.

Little Kids Getting Low OR ‏this link here

attachment.php

Kuna wazazi wameamua kuwapeleka watoto wao wakasome boarding schools wasipotoke. Mnaolea watoto, what is going through your mind right now? What challenges do you face raising your kids?

.
 
Attachments

  • Little Kids Gettin Low.JPG
    Little Kids Gettin Low.JPG
    23.3 KB · Views: 133
Last edited:
I hope this was not filmed in Tanzania, tunawafundisha nini jamani hawa watoto wetu? Kyeleeeeuuhwiiiiiiii!!!! The boy looks soo innocent, utafikiri it's just a gymnastica routine?!
 
Hicho kitoto cha kike kinachocheza, asilimia kubwa hiyo ni reflection ya tabia za wazazi wake... walau mmoja wao. Na kuangalia mtv au sinema zisizorika yake 24/7. Kama siyo, kimeyaona wapi hayo yote? Na kama kimeyaona pahala, kimepractice wapi hiyo dirty dancing at that age?

Somewhat clip hiyo imenikumbusha ''little miss sunshine''.....and definitely yule babu yake katika hiyo sinema hakumfundisha kama hayo anayoonekana kufanya mtoto live... honestly, whatever fun those kids seem to be having, kuna pahala pana walakini..
 
Naona vitoto vya Boston vimejazana hapo.Mmhh mimi yangu majicho.Kizuri zaidi hiyo ilikuwa ni moja ya sherehe za DINI.Takhbiiiir!!!!!!
 
Where the hell is this? Unbelivable kweli maadili yameporomoka ila sio lazima mtoto asome boarding ndio awe na tabia hizo. Tabia ya mtoto inategemea sana na malezi anayopata nyumbani kuna msemo unasema "tunda halidondoki mbali na mti". Wazazi ni lazima wawe makini sana na vitu wanavyoviona na kuvifumbia macho mara nyingi hivyo huishia kuwa down falls kwa watoto; tunajua wazi "mzaha mzaha hutumbua usaha" na "samaki mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki", haya niliyoyaona katika hii clip labda kama unamuandaa mwanao kujiunga na mugongo-mugongo or one of the kind; otherwise we lost an innocent soul right there, is sad!
 
Kuna memba yoyote anaye ijua Longido Primary School ya miaka ya 80?... Ilikuwa inatisha na watoto wengi walisoma shule ile waliondoka na matatizo mengi ya kisaikologia
 
Where the hell is this? Unbelivable kweli maadili yameporomoka ila sio lazima mtoto asome boarding ndio awe na tabia hizo. Tabia ya mtoto inategemea sana na malezi anayopata nyumbani kuna msemo unasema "tunda halidondoki mbali na mti". Wazazi ni lazima wawe makini sana na vitu wanavyoviona na kuvifumbia macho mara nyingi hivyo huishia kuwa down falls kwa watoto; tunajua wazi "mzaha mzaha hutumbua usaha" na "samaki mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki", haya niliyoyaona katika hii clip labda kama unamuandaa mwanao kujiunga na mugongo-mugongo or one of the kind; otherwise we lost an innocent soul right there, is sad!

Statement yangu ilikuwa inaning'inia; nimeongeza neno "wasipotoke".

Watoto wengi wanalelewa na ma-house girl, halafu wazazi hawana muda wa kutosha kuwa karibu nao kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Imekuwa ni heri kumpeleka mtoto boarding school japo mzazi angependa awe karibu naye hasa katika umri wa miaka 9 au chini ya hapo.

.
 
they are only dancing like antie so and so .. they are seeing this everyday on the tv and around them ... guys these kids are innocent blame they know not what they are doing .. mnaacha kulaumu watu wazima ebo!
 
Most people under-estimate what a 6 years old kid knows. But who is pointing fingers at the kids anyway, naima?

.
 
Most people under-estimate what a 6 years old kid knows. But who is pointing fingers at the kids anyway, naima?

.

buddy .. read previous posts .. kuna lawama .. ofcourse you cant underestimate a six year old kid who is exposed to such behaviours .. but kama hana encounter with any of such hawezi kubuni mwenyewe .... take for instance uswahilini watu wanasasambua uchi ... what can a kid do tena anapenya mpaka afike mbele ajionee mwenyewe .. brain yake pia inapick vile vitendo ..eventually ana try them out.

Sisi zamani mambo ya kusasambua hayakuwa kama siku hizi maana kila kitu kinaonyeshwa kwa vitendo kujipodoa .. sijui kuvaa nini etc .. sisi tulifunda vyumbani na wazee wetu hususan mashangazi ... bila kukuitia halaiki ya watu wengine wananunuliwa kuja kuvua nguo hadharani kwa kisingizio cha kusasambua na kufunda in case of kitchen parties.
 
Back
Top Bottom