Coming Soon To Dodoma...

Coming Soon To Dodoma...

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,385
Reaction score
139,187
Wakati wewe unalialia kuhamishiwa Dodoma na wengine wakilaani biashara kufa wengine wanaona fursa na kuzitumia
IMG_20180316_090753.jpg
 
Hahah!! Pamoja mkuu
Hao watu wameona mbali, kwenye waliohamishwa wapo wateja wao wengi tu. Sasa wameamua kuwafuata huko huko pamoja na wateja wapya wa Dodoma.
 
Nikweli wameifata fursa popote ilipo pia wametanua wigo wa biashara yao
 
Dom hakuna supermarket ya uhakika,zipo mbili tu tena zote ni mini supermarket,wakija hao itapendeza zaidi!
 
Nitakutafuta mkuu tuoneshane hizo fursa
kwa sasa Dodoma 1.shule za awali(vidudu) azitoshi 2.Shule za msingi English academy azitoshi 3.Dry Clenners azitoshi 4. magereji ya magari ayatoshi 5. saloon za kiume na kike zenye quality services kama vile BM saloon Kinondoni azitoshi
6.electronic repair centers for cellphone,lcd tv etc zinahitajika 7. computer repairs wanatakiwa 8.mafundi wa AC,etc
waliokuwepo kutokana na watumishi wengia kuhamia huko awatosherezi demand
 
Haya changamkieni fursa hizi.
 
Shukrani sana mkuu
 
Fursa za kujiajiri nje nje.
 
Huyu ni graduate.
 
Back
Top Bottom