Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,990 Apr 17, 2014 #1 Wadau naomba msaada wa kuipata album hii ya Mr 2 a.k.a SUGU inayoitwa Coming of the age, nimejaribu kwa baadhi ya website mbalimbali cjapata nyimbo za album hiyo japo hata audios naomba mautundu pls, Natanguliza shukrani,,,!
Wadau naomba msaada wa kuipata album hii ya Mr 2 a.k.a SUGU inayoitwa Coming of the age, nimejaribu kwa baadhi ya website mbalimbali cjapata nyimbo za album hiyo japo hata audios naomba mautundu pls, Natanguliza shukrani,,,!
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,434 Reaction score 14,894 Apr 18, 2014 #2 Nenda makao makuu ya chadema pale kinondoni utaipata, hahahahaaaaa jus kiddin!!!