Comfesheni page. . . . .

Wengine tukicönfess humu ni talaka hapo hapo. Bora niconfess kumoyo.
 
naona umeniita mkuu@Kaka kiiza...ila nami nikiri ni jana tu nimedate na CUTE..aise..bado niko naye hadi muda huu wa ausubuhi..sijarudi nyumbani..nisamehee bebi wang Preta

basi nimekusamehe.....ila sitaki tena kusikia upo na CUTE.....sawa bebii....?
 
Last edited by a moderator:
yani huyu hafai msikitini wala kanisani khaa! yani iko kidogo kaja kusema uku je ingekua ....cjui ndio angemtafuta shigongo mweh! ngachoka mi

Ndo shida ya watoto wa BBM lol come zis way kwen ma experience lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…