Come we stay style!!!!!! Unaionaje?

Come we stay style!!!!!! Unaionaje?

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,296
HAPPY NEW YEAR!!

Heshima tele wapendwa!!

Come we stay ni system ambayo many partners like using it thinking that they can get the right partner to marry, but
at this time they try to observe each other’s behavior if they could be a perfect couple in life, many of them succeed
and end up getting married..while some they end up regretting why they even met.

Kwa wanachuo nj na ndani..hasa nje wengi mnajikuta umeishia kuwa na mtu ambae hukutarajia kuwa nae kwa sababu ya mazingira na kusave hela.
wengine wanakwambia abiria chunga mzigo wako ila mwisho wa siku wanaachana hapo wameishi zaidi ya miaka minne mitano...

Me namjua mtu aliishi na mwanaume kwa zaidi ya five years tangu wakiwa chuo(nje ya tz) na waliporudi Bongo wakaishi only two years wakaachana. ukifukunyua kila mtu anajitetea lake oh sikukonekti nae emotionally...saikolojikali...it was only personaly, financially na georaphically..

je wewe ulishawahi ku experience hii kitu?mliishia wapi?

Unawashaurije wanaotaka kuishi as couple kwa imani ya uhakika wa ndoa ila wengi huishia kuwa ma baby mama
as well as heartbroken?
Kama unaishi hivyo sasa je ni sababu zipi zimechangia?changamoto gani unakutana nazo?

Any REGRETS?:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
kwanza ijulikane kabisa kuwa cohabitation does not lead to succesful marriage...actually wakioana tuu haichukui muda wana achana. so unashauriwa kuwa msiishi pamoja kabla ya kuoana...kila mtu aishi kwake.

wanaume ni wanaume tuu na wengi wetu yho tunapenda kugegeda lakini mwanamke akishajiruhusu kuhamia kwa jamaa bila kuolewa tayari value yake imeshuka....ni mwanmke amabye hana morals.
 
sijaimaliza....!

ngoja nimnyonye maziwa kwanza!!
 
Hii ni kusindikizana kumaliza semista au muda wa masomo...kwenye vyuo watu wanakohabit saana na wengi ni kweli wanaishia kuumizwa 'cause cheating ipo palepale...nimeshuhudia watu wakiishi kama mke na mume na kuzaa kabisa..mwisho wa kisomo ndo ukawa mwisho wa mapenz

Binafsi sishauri kabisa mtu kuingia kwenye mahusiano yasiyo na malengo
 
kwanza ijulikane kabisa kuwa cohabitation does not lead to succesful marriage...actually wakioana tuu haichukui muda wana achana. so unashauriwa kuwa msiishi pamoja kabla ya kuoana...kila mtu aishi kwake.

wanaume ni wanaume tuu na wengi wetu yho tunapenda kugegeda lakini mwanamke akishajiruhusu kuhamia kwa jamaa bila kuolewa tayari value yake imeshuka....ni mwanmke amabye hana morals.

mzab kwa migegedo hujambo!lol
anyway unachoongea ni kweli kabisa.
Ati kuhusu value inashuka mhhhh me naona i mean mkiishi pamoja ivo inapunguza makali ya kusalitiana cos kila mtu anafocus anataka ndoa.. So acting to his best behaviour.
We ulishawahi mzab?ama ndo unapinga af unamaliza ugenini?
 
Hii ni kusindikizana kumaliza semista au muda wa masomo...kwenye vyuo watu wanakohabit saana na wengi ni kweli wanaishia kuumizwa 'cause cheating ipo palepale...nimeshuhudia watu wakiishi kama mke na mume na kuzaa kabisa..mwisho wa kisomo ndo ukawa mwisho wa mapenz

Binafsi sishauri kabisa mtu kuingia kwenye mahusiano yasiyo na malengo

Hi Chocs..
Uhusiano bana ni taasisi chachu sana...ukivumilia utameza ukishindwa utatema . Kuhusu uhusiano wenye malengo ni ngumu kujua yani af cohabitation ndo inawapa watu moyo mno kuwa tutafikia malengo. Lakini wapi.. Sijui ndo laana yani! Nmeshuhudia na kusikia za wengi sana watu wanakaa hadi 8yrs!!!!!! Then wanaachana apo wametoa mimba za kutosha..ama swalie mtume wamekeep moja ila ndoa kalas unaisikia kwa wenzio
 
Last edited by a moderator:
mzab kwa migegedo hujambo!lol
anyway unachoongea ni kweli kabisa.
Ati kuhusu value inashuka mhhhh me naona i mean mkiishi pamoja ivo inapunguza makali ya kusalitiana cos kila mtu anafocus anataka ndoa.. So acting to his best behaviour.
We ulishawahi mzab?ama ndo unapinga af unamaliza ugenini?

hahaha wewe statistics zinaonyesha kuwa cohabitation doesnt work for the best.
kuhusu acting to the best behaviour eti kwa sababu anataka ndoa that i disagree becoz kwanza kumbuka initially the main reason ya kucohabit inakuwaga "lets see if we are compatible". yaani ni sawa mtu aseme mchukuwe mwanangu kwa majaribishio ukiona hafai mrudishe....wee ulionaga wapi watu wanajaribishiana kitu serious kama marriage?

mie personaly sitafanya hiyo kitu maana kwanza tho mwenyewe napenda kugegeda but i know wat am doing is wrong and i would not advise anyone ambaye hajaanza mambo ya migegedo eti aishi na partner kabla ya ndoa. lets face ukweli...haya mambo ya kugegedana na kuisha pamoja kabla ya ndoa ni kutawaliwa na shetani tuu hamna lolote. it is wrong na binadamu hatujafaidika na lolote kutokana na hiyo hali.
 
Poa Swts

Kiukweli mi siwezi kugeuka mkeo kwa miaka 3,4,5 au miezi..kisa tunasoma kozi moja ooh sijui wangu nimemwacha Shinyanga sijui distance na blah blah nyingi..

Huo ni ulimbukeni na mambo ya kufwata mkumbo na kupelekwa na matukio

Ni kweli huwez kujua huyu ndiye au laa...muwe na mahusiano lakini si kuishi pamoja

wengine hadi wanapigwa! Khah na kwao hata haijulikani kama anaishi na mwanaume afu bado yumo tuu..aisee haya mapenzi!!
Hi Chocs..
Uhusiano bana ni taasisi chachu sana...ukivumilia utameza ukishindwa utatema . Kuhusu uhusiano wenye malengo ni ngumu kujua yani af cohabitation ndo inawapa watu moyo mno kuwa tutafikia malengo. Lakini wapi.. Sijui ndo laana yani! Nmeshuhudia na kusikia za wengi sana watu wanakaa hadi 8yrs!!!!!! Then wanaachana apo wametoa mimba za kutosha..ama swalie mtume wamekeep moja ila ndoa kalas unaisikia kwa wenzio
 
Last edited by a moderator:
this is too bad aisee....
kwanza ni kupotezeana muda na bahati tuu, na wengine wana disco kabisa.....
chuo kikiisha kila mtu anakula 50 zake, mtu anabakia na ningeejua ninggejua zake...
 
Hiii mbaya sana kuna dada aliish na mwenzake kwa miaka sita akitegemea jamaa atajitambulisha kwao mwisho wa siku ameambulia maumivu tu,na hii inasumbua sana katka mahusiano hutakaa utulie na mpenzi mmoja utaendelea kufanya selection na kuona kila unayempata hakufai!
 
miaka sita..uwwiii..ila mi najua kuna laana lazima kwa waasaliti aisee
 
Laana huwezi ukaiona utabaki unaumia wakati mwenzio anaponda raha na wengine,anatoa simple reason kuwa ameona hamuendani ndoa itawashinda
aisee angepay tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom