Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Wifi yangu nani sasa
Wifi yangu nani sasa
Hahahahaha unazingua sasaNahisi unacheza # ya Roberto Carlos
![]()
![]()
![]()
![]()

ooh kumbe sikujua kama wewe ni PaganismUkileta ishu za Mungu sasa si tunaharibiana mood mkuu
Aah wapi...! Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana....haina maana kunyimanaWifi yangu nani sasa
Bora uonekane unajidaiAah wapi...! Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana....haina maana kunyimana

Bora uonekane unajidai![]()
Kugawagawa haifai![]()
unanioneammh leo ndio nimejua kwamba Mungu anachoka ahsante mkuu kwa kunifumbua macho.Sikiliza mkuu....sio kila kitu tunamtaja Mungu samtaimu tumuache apumzike
![]()
![]()
![]()
Hamna hapoSasa hutaji # yako
Nendeni Kapuku Forum mkakinukishe bhana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kambi popote. ..popote kambi

umenikumbusha mkuu tukutane kule sasa hivi mkuuNendeni Kapuku Forum mkakinukishe bhana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Zipo zote hata inayomuhusu Side Mnyamwezi au Mwajuma Ngedere
side mnyamwezi
Una mashaka nami ?Najoke tu mkuu