Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Sakata la kesi ya pingamizi wa uchaguzi wa TLS limechukua sura mpya baada ya mahakama kuu kanda ya Dodoma kukubali kuunganishwa kwenye kesi hiyo as wadaiwa (in law respondent) mheshimiwa Laurence masha, Mheshimiwa Tundu Lissu na wakili Godwin Ngwilimi simba.
Masha ni wakili mzoefu sana na huwa hana papara anapowasilisha hoja zake ni mtu makini anayependa kuwasilisha zaid vifungu vya kisheria kuliko maneno binafsi, Tundu lissu anafahamika sana kwa uwezo mkuu wa kufanya cross Examination yaan kufanya mahojiano na mashahidi hutumia weredi wake kuhakikisha mashahidi hueleza kile ambacho anapenda waeleze kwa kuwauliza maswali yanayotarajiwa kutoa maelezo wapi atachomokea
pia ni muumin mzuri wa vifungu vya kisheria katika kuwasilisha hoja yake Sasa huyu mtu wa tatu yaan Godwin Ngwilimi simba ndo kubwa la maadui ni mbobezi mkuu wa sheria amewahi kuwa mwanasheria wa BOT, akaenda kuwa mwanasheria mkuu wa Vodacom baadae akahamia TANESCO kama mwanasheria mkuu wao Alifukuzwa kazi na management ya TANESCO baada ya kuwashauri wasilipe pesa za Escrow mpaka bunge kupitia zitto kabwe,
Ole sendeka na wengineo wakaja juu ni mtu mwenye weredi mkubwa katika taaluma hii ya sheria amekuwa mkufunzi wa sheria vyuo mbalimbali hapa Tanzania pamoja na school of law kwa weredi wa mawakili hawa watatu najiuliza wasonga atachomokea wapi hapo aandike hasara