Muulize G.KilibwAWadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri.
Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za utafutaj pia.
Matokeo yang ni
Chemistry D
Bios C
Geog C
Hist D
Kiswahili D
Natanguliza shukraniπ
Nmekosea hilo neno completedcbg usome 5&6 kwa mwaka mmoja kwa hayo matokeo? unatafuta zero kwa juhudi sana,
hata hgk ukijitahdi sana utaruka na 4 ya mwisho
halafu una maana gani, ipi siyo completed.
MwlmKabla ya kuchagua Comb nikuulize weweUnataka kuwa nani kwanza?
Au ndio mradi umalize form6
Mwlm
Nenda TIA au CBE kachukue Certificate ya Accountancy, ukimaliza jiunge na Diploma ya Accountancy. Ukimaliza jiunge na Bachelor ya Accountancy au nenda Ardhi kasome BAF.Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri.
Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za utafutaj pia.
Matokeo yang ni
Chemistry D
Bios C
Geog C
Hist D
Kiswahili D
Natanguliza shukraniπ
Chagua tahasusi kulingana na matarajio yako. Au kama ili mradi kusoma chagua yoyote kati ya hizo.Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri.
Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za utafutaj pia.
Matokeo yang ni
Chemistry D
Bios C
Geog C
Hist D
Kiswahili D
Natanguliza shukraniπ
Je hkl
na hgk ipi bora naombeni uxhaur
Watu mnachekesha humu ndani, khaaahJe hkl
na hgk ipi bora
Math kapata vipi?Nenda TIA au CBE kachukue Certificate ya Accountancy, ukimaliza jiunge na Diploma ya Accountancy. Ukimaliza jiunge na Bachelor ya Accountancy au nenda Ardhi kasome BAF.
Usiende hizo combination mbili kwasasa. Matokeo yako ni mazuri sana
Kuna baadhi ya vyuo Math hawaangalii ukianzia certificate.Math kapata vipi?