Comb ya HGL unaweza kusoma kozi gani degree?

Mm naona ukasomee sheria (law) ndio inafaa kwa comb hiyo , ila hata political inafaa sana kwako mkuu
 
Law(LLB), BA (sociology), BA (Geography &environment studies), Bsc(urban planing), BA ( Fine and perfoming arts), BA (Journalism), BA (Political science and public administration), Human Resources management, Social work, Education, Linguistics

Ukisoma LLB, unaweza kuwa hakimu na Mungu akikujalia utakuja kuwa Judge.
Pia unaweza kuwa mwanasheria wa kujitegemea,

Sociology : Unaweza kuwa Afisa maendeleo wa jamii katika wizara na idara mbalimbali, pia unaweza kuajiriwa TAKUKURU, Police, Magereza, Jeshini, Uhamiaji, Zimamoto, na Usalama wa taifa

Urban planing : Utaajiriwa kama afisa mipango miji. Lakini pia unaweza kuajiriwa kama nilivyoainisha kwa mtu wa Sociology.

Journalism : Unaweza kuajiriwa kama mwandishi wa habari, ama ukawa mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia unaweza kuajiriwa kama msemaji wa kampuni au shirika. Na hapa pia unaweza kuajiriwa kama nilivyoeleza kwa mtu wa sociology.
Asante sana umeeleweka vilivyo
 
Umebobea sana
 
Education
Sociology
Law

Na nyinginezo nyingi Mkuu. Inategemea we unapenda nini haswa.

Kila kozi ina ajira,what matters is how competent you are. Soma kitu unachokipenda kwa bidii.

Education ina uwanja mpana zaidi wa kujitafutia ajira lakini sasa hivi walimu wa masomo ya Sanaa (Arts) washaanza kuzinguliwa. Ingekua miaka ile ambayo tulisoma sisi,ilikua ni dili sana. Kwa sasa soma tu ili uondoe ujinga kisha rudi mtaani kupambana kwa njia zote za halali.
Mfano mtu alisoma Bachelor ya Education akitaka kwenda kusoma Law inabidi afanye nn? Yaani kuna hatua gan anapaswa kufuata?
 
Back
Top Bottom