1. Iwe Ya Kuheshimiana.
2.Kejeli zisipewe nafasi kamwe.
3.Tuthamini michango ya wengine.
4.Tukosoane kistaarabu.
5.Matusi yasiwepo.
6.Kuvuruga thread za watu tuache.
7.Tuwe tiyari kupokea ushauri pale inapobidi hata kama hautokufurahisha.
,
,
Wadau mnaweza kuongezea na yenu!!!
Happy New Year MMU