Collaboration hizi zikitokea

Collaboration hizi zikitokea

hassandilunga

Senior Member
Joined
Mar 17, 2020
Posts
146
Reaction score
151
Collabo hizi za ndani ya Afrika kama zikitokea ni hatari saana....Ni muziki mzuri..

Diamond Platinumz ft Wizkid.

Simi Ft Wizkid

Vanesa mdee ft Burna Boy

Alikiba ft Davido

Patoranking ft Burna Boy

Tiwa Savage ft Yemi Alade

Joe Boy ft Kizz Daniel

Navykenzo ft Wizkid

Sarkodie ft A.K.A

Nasty C ft Sarkodie

Harmonize ft Wizkid

Marioo ft Rema

Jux ft Kizz Daniel

EDDY Kenzo ft Burna Boy

Burna Boy ft Wizkid

Alikiba ft Faly Pupa

Kaligraph Jones ft Sarkodie&A.K.A

NB. Davido Ft Wizkidayo.

Ongeza nyingine ambayo unahisi itakuwa kali
 
Soma tena
Ngojea nikupe jibu langu kuhusu ile issue ya davido na Wizkid siku ile bando liliisha, Wizkid ana kipaji kikubwa Cha kuimba compare na davido hata best naso tu anampita davido kea kipaji Cha kuimba ila kwa kutoa hit songs Davido ana hit songs Kali na nyingi than Wizkid by far.
 
Nani ana mafanikio zaidi katika muziki wao kimataifa??
 
Najaribu kuwaza Mbosso Ft Kassim mganga... sijui ntapata nini?

Au Joh makini Ft Fid q...!
 
Collabo hizi za ndani ya Afrika kama zikitokea ni hatari saana....Ni muziki mzuri..

Diamond Platinumz ft Wizkid.

Simi Ft Wizkid

Vanesa mdee ft Burna Boy

Alikiba ft Davido

Patoranking ft Burna Boy

Tiwa Savage ft Yemi Alade

Joe Boy ft Kizz Daniel

Navykenzo ft Wizkid

Sarkodie ft A.K.A

Nasty C ft Sarkodie

Harmonize ft Wizkid

Marioo ft Rema

Jux ft Kizz Daniel

EDDY Kenzo ft Burna Boy

Burna Boy ft Wizkid

Alikiba ft Faly Pupa

Kaligraph Jones ft Sarkodie&A.K.A

NB. Davido Ft Wizkidayo.

Ongeza nyingine ambayo unahisi itakuwa kali
Ben Paul & corede bello
 
Back
Top Bottom