Matoke original.Ni nini hiyo................?......
Haha! Kweli mkuuWatu kama hao wanaokula hicho chakula hukuti ana matatzo ya kansa,upungufu wa nguvu za kiume, matumbo kujaa n.k
Ni picha ya watu wanaokula chakula kilichopo kwenye majani ya migomba!Ni nini hiyo................?......
Bitoke ne mfuluNi nini hiyo................?......
Ni picha ya watu wanaokula chakula kilichopo kwenye majani ya migomba!
Chakula....Ni nini hiyo................?......
Hii iko Kitamaduni zaidi, mambo ya vyuma vyuma sijui udongo tupa kule.Sasa kwa nini hawaweki kwenye sahani.......?......
Ni mchanganyiko wa ndizi, nyama, na maharage.Ni nini hiyo................?......