Bila kusahau ngongwe.....Ni mchanganyiko wa ndizi, nyama, na maharage.
Karibu tupate huu mseto.
Wazipateje?Sasa kwa nini hawaweki kwenye sahani.......?......
Ndezi wewe, hizo ni tamaduni tu wala sio umasikini.Duh! Mukifika Dar munatudharau watu wa Pwani kumbe makwenu munalia kwenye majani ya migomba.
Kabila lako halina utamaduni? Au hauna Kabila?Hebu tuanzie hapo... UTAMADUNI nini?
Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo.Kabila lako halina utamaduni? Au hauna Kabila?
Uwiii iwiee
Nenda kasome kamusi ya kiswahili, utapata maana ya utamaduni. Lakini kwa kifupi ni jumla ya mfumo wa maisha kwa kundi la watu fulani ktk eneo fulani. Inahusisha lugha, chakula, mila, mahusiano nk.Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo.