Mkuu hivi vitu naamini walivipanga somehow
Sababu kuna ile movie Contagion it's about ugonjwa kama corona, ulienea dunia nzima kuna lockdown kama ambavyo inaendelea sasa hivi, yaani kila kitu but fun thing movie ilitoka mwaka 2011 another coincidence!
Sent using
Jamii Forums mobile app