COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Kanuni ya kutambua visivyokuwepo nimekuwekea chini ya pua usome hapa.

Tatizo hujui kusoma.

Unaweza kujua kusoma ila usielewe unachokisoma.

Kama nilivyosema si kila sichokuwepo maana yake hakiwezekani kuwepo,umeeleza ni vp pembe tatu duara haiwezekani kuwepo. Sasa nataka kitu kimoja tu ambacho hakipo lakini kinawezekana kuwepo.
 
That is neither here, nor there and totally does not address my issue.

Further proof that sio tu hujui kusoma, bali pia kufikiri.

Kwa nini unanipa mimi obligation ya kuelezea kitu ambacho hakipo lakini kinaweza kuwepo? Logic ya wajibu wa maelezo hayo nilazimike kuyatoa mimi unaipata vipi?

Au unakibali tu kwamba niwe mwalimu wako wa kufikiri bila kukuchaji tuition?
 
Wewe unasema hakuna mungu halafu unapoambiwa uthibitishe hilo unasema visivyokuwepo havisibitishiki, sasa unaulizwa je,unajuaje hivyo visivyokuwepo?unaona hauna ulazima wa kufanya hivyo.
 
Huo nao ni mtihani haswa!

Kwa usadiki wangu, kanuni inayotumika (ingawa si ya hakika sana) ni kuangalia tu kilichopo au vilivyopo na kufikia hitimisho kuwa hiki au kile hakipo.

Licha ya hivyo, kile ambacho tunadhani hakipo kinaweza kikawepo lakini bado tukawa hatujajua/ gundua kwamba kipo.

Naomba kuuliza swali.
.....Unakijua vipi kisichokuwepo?
 
lakini bwana msomi Kiranga na wenzio...naomba unijuze unasema mungu hayupo?? au hana sifa anazopambwa nazo ila yupo??
yan unafkiria kuwa huyu mungu atakuwepo ila kuhusu uwezo wote hapana..ana uwezo kidogo tu wa kufanya baadhi ya mambo mengine hawezi
upendo pia hana wote mana angefanya vyovyote kuthibitisha upendo wake..so anafanya kidogo tu..kuhusu pia kujua yote hapana..atakuwa anajua baadhi ya mambo tu mengine hajui mbele yatakuwaje...je ni sawa ndo unafikiri hivi???
lakini vilevile mimi naomba unipe shule kidooogo.kuwa wewe kama wewe kiranga unauthibitisho gani kuwa hayupo kwa kutumia sababu zako binafsi..achana na hizi za kukosa sifa ulizoambiwa na watu ambao pia wamezitoa kwenye vitabu usivoviamini....sijui unanielewa?? yani umezichukua sifa za uwezo,upendo na ujuzi ambazo umesikia kwa watu ukazipima na kuona hazina mashiko lakin kumbuka sifa hzo watu wamezitoa kwenye mavitabu usiyoyaamini...sasa hebu tujengee hoja nje ya maneno ya kuambiwa nataka zako binafsi .....hapo napo sijui nimeeleweka?? ..yani kwa mfano mimi hadi leo sina imani kuwa popo ni mnyama najua ni ndege....ila nilikuja kupata ufaham kidogo(kwa kuambiwa shuleni)kuwa popo ni mnyama kwa sababu kadhaa wa kadha..hizo sababu sijawah kuzishuhudia kabisaa had umri huu nimemaliza elimu ya juu...nimeamua kuamini tu kuwa ni mnyama kwa sababu NIMEAMBIWA kwa njia ya vitabu au maneno ya watu kuwa huyo jamaa anazaa..ananyonyesha na ana manyoya ya mamalia ndo mana si ndege bali ni mnyama..nimeamua kukubali hvo kwa kukuta kundi kubwa la watu tayari linaamini hvo..lakin kila siku namuona usiku na sifa kubwa ya ndege ambayo ni kuruka
....nashindwa kupinga hilo kwa kuwa sina sababu zangu binafsi na sababu zilizopo sijazithibitisha ila nimezikubali tu kwa kuambiwa...je mimi ni mjinga??mvivu wa kufikiri kwa sababu tayar vitabu na watu wanasema vinginevo au ni kweli nina mawazo mbinuko katika hili?? ....sijapata sababu kwa kweli lakin mwenzangu hebu nifunlie sababu zako binafsi za kutokuwepo Mungu bila kurejea zile za kuambiwa..at least tupate cha kuanzia
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasema hakuna mungu halafu unapoambiwa uthibitishe hilo unasema visivyokuwepo havisibitishiki, sasa unaulizwa je,unajuaje hivyo visivyokuwepo?unaona hauna ulazima wa kufanya hivyo.

Wapi nimesema naona sina ulazima wa kufanya hivyo?

Unao uwezo wa kufuatilia ninachoandika au unabwata tu?

Sikuelezea habari za logical consistency kama litmus test hapo juu?

Ushawahi kuchora truth table maisha yako yote?
 
Popo si ndege, ni mnyama. Wakati ndege ni mnyama.

Ridiculous.

This is the type of heads I am condemned to deal with.

Grab a book or something.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ndugu Kiranga i wish ungenielewa....nimesema kwa mfano...yani nimejiweka upande wa ujinga kuwa siamini hilo..sasa ukiwa mfano wewe ni mwalimu wangu unihakikishie na unithibitishie kuwa ni mnyama..nilichoandika nakielewa na sijakurupuka...lvile vile unasemaga tutumie tu maneno ya hekima kwa sababu hapa hatubishani bali tunaeleweshana.sasa unapotumia maneno kama ridiculous..unakuwa kama uelewa wako nauquestion..huna haja ya kutumia maneno makali hvo..nimejiweka upande wa ujinga..unieleimishe huo mfano...lakin kama nilichoandika ni upumbavu..hebu upotezee alafu rudi kwenye matwakwa yangu..unipe sababu ambazo ni nje ya ulichoambiwa kuhusu Mungu..nataka za kutoka akilini mwako..hayo magrab...sijui maridicilous..tunayajua mno na huu sio ulingo wake...interest yangu unipe sababu zako..huo mfano kama hujauelewa uache kando..labda nimeupresent ndivo sivyo...nasubiri jibu
 
Kabla ya yote jifunze kuandika kwa mpango. Sentensi zilizokamilika, zinazounda paragraph, zinazotiririka kimantiki.

Hizi habari za... na ... zinaonesha una tatizo la ungumbaru.

Sasa mimi huwezi kunipa kazi ya kukuondoa kwenye ungumbaru kabla hatujaanza kujadiliana mengine.
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya yote jifynze kuandika kwa moango. Sentensi zilizokamilika, zinazounda paragraph, zinazotiririka kimantiki.

Hizi habari za... na ... zinaonesha una tatizo la ungumbaru.

Sasa mimi huwezi kunipa kqzi ya kukuondoa kwebye ungumbaru kabla hatujaanza kujadiliana mengine.

Nimegundua kitu.

Wewe bila vitabu hakuna unachojua, hapo wote tunakuwa sawa. Sasa nakuuliza, nn kinakufanya ww uamini mafundisho ulopewa? What if waliokufundisha wamekupotosha?

Kwa Ufupi sana. Nje ya Imani hakuna mwenye hakika wa haya. Maana tumezaliwa tumekuta vitabu... Tunafundisha na kuelimishwa kwa vitabu tulivyovikuta. Hili bila shaka upo sawa na Mimi Mkuu au sio?

Naomba kufahamu kuhusu the truth table. Japo sina hakika ukwabwa wa somo hilo,naomba dondoo muhimu tuu za kunisaidia kuifahamu zaidi. Kama hutojali tafadhali...
 
Nimeongelea logical consistency hapo juu. Sina hakika kama hata unaelewa hicho ni nini.

Truth table mimi kuanza kukufundisha leo ni kunionea tu.

You might as well ask me to teach you the alphabet.

Google is your friend.
 
Aiseeeee! Haya Ngoja nizame google.
 
kiranga wewe nijibu hoja zangu..mambo ya kupangilia paragragh mara sijui ungumbaru hayana mashiko after all hapa sipo kwenye interview mpaka niwe makini hvo as if nikikosea kidogo tu nakosa kazi.hiki ni kijiwe kama vijiwe vingine so hata mawasiliano si lazima saanaa yawe formal kiuandishi.twende kwenye hoja naomba majibu ya nilichouliza.huwa nakuona sana ukikosa hoja ya kujibu unahamia kwenye kuangalia spelling na uundaji wa sentensi as if hapa ni jukwaa la lugha.ungumbaru wangu uache kama ulivo wewe nijibu hoja zangu..nafkiri tumeelewana
 
Ukiwa unaandika kama ngumbaru hata ukiwa na hoja inaweza isionekane.

Ni kama mtu mwenye muandiko mbaya hausomeki anaambiwa jifunze kuandika kwa muandiko mzuri watu waweze kukusoma, halafu ajibu "angalia hoja tu, usiangalie muandiko".

Sasa hoja nitaionaje na mtu unaandika kama bata kapita?
 
okey jibu hoja zangu kwa maana ushajua nilichouliza mkuu hizo ligi nyingine nafkiri hazitufaidishi.naomba turudi kwenye hoja tafadhali
 
Wapi nimesema naona sina ulazima wa kufanya hivyo?

Unao uwezo wa kufuatilia ninachoandika au unabwata tu?

Sikuelezea habari za logical consistency kama litmus test hapo juu?

Ushawahi kuchora truth table maisha yako yote?

Ulitoa mfano wa kitu kisichowezekana kuwepo,nikakwambia si kila kisichokuwepo hakiwezekani kuwepo.
 
Whether hakipo kwa sababu hakiwezekani kuwepo au kinawezekana kuwapo lakini hakipo tu, katika kujibu suala la hakipo, that is what is called a "difference without a distinction".

Kama natafuta viatu ili nivae nitoke nje, nikikuta viatu vyangu havipo ninapotegemea vipo, it wouldn't matter to me kama inawezekana au haiwezekani kwa viatu hivyo kuwapo hapo ninapotegemea viwepo. The fact will remain havipo.

Katika kuhoji uqepo wa mungu, I go a step further na kuonyesha kwamba mungu wenu hawezi kuwapo kwa sababu ya logical consistency. Kwamba huwezi kutafuta viatu vyako juu ya kakaa ya moto, kwa sababu vingekuwa hapo vingekwishaungua.

Idea ya mungu wenu inajichanganya. Upande mmoja ana uwezo, ujuzi na upendo wote, upande mwingine kaumba dunia ambayo maovu yanawezekana. Kwa nini?
 
Back
Top Bottom