Kiluuj JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 692 Reaction score 278 Aug 21, 2015 #1 Mwalimu: Hivi kuna Coffee ngapi Africa? Mwanafunzi: Kuna aina mbili. Mwalimu: Vizuri. Hebu tuambie majina yake tafadhali. Mwanafunzi: Kuna Koffi Annan na Koffi Olominde. Lakini kuna Koffi Kingston ya WWE ambaye pia ni ya Africa.
Mwalimu: Hivi kuna Coffee ngapi Africa? Mwanafunzi: Kuna aina mbili. Mwalimu: Vizuri. Hebu tuambie majina yake tafadhali. Mwanafunzi: Kuna Koffi Annan na Koffi Olominde. Lakini kuna Koffi Kingston ya WWE ambaye pia ni ya Africa.