COET or DIT

Nenda DIT Kaka , sina mengi ya kuongeza wazee wa high voltage
 
Waja ambao hawakupita COET. wanatema Nyongo zao hapa.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama unataka cheti nenda UDSM...ila kama unataka ujuzi nenda DIT....Ukiingia DIT utakutana na watu wamemaliza diploma za engineering wako very competent technically..ila UDSM asilimia kubwa wote ni fresh from A-level
 
Kama unataka kuwa fundi mchundo nenda DIT,ila kama unataka kuwa Engineer nenda udsm.
 
Sina ushauri, angalia connection mana siku iz ni connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…