COET or DIT

COET or DIT

Kama unataka sifa nenda Udsm kama unataka Ujuzi nenda DIT.
Hao jamaa kutoka hivyo vyuo vyote viwili nina fanya nao kazi kwa ukaribu sana sana na uhakika na ninacho kwambia. Chaguo ni lako.
Na sisi tuliochaguliwa MUST vipi? Unafanya kazi na mtu yoyote aliyesoma MUST?
 
Na sisi tuliochaguliwa MUST vipi? Unafanya kazi na mtu yoyote aliyesoma MUST?
Pako vizuri tu DIT ,ATC (Arusha) , MUST vyote viko poa.
Walio pita MUST wapo. Ninao wafahamu wapo mechanical 2 na Electrical 2
 
Nimechaguliwa electrical engineering na naipenda kutoka UDSM na DIT , naombeni ushauri wa ku confrim sehemu moja
Tatizo UDSM wanafundisha kama secondary wana mitaala ya kizamani sana. Hutapata skills zozote ni madesa tu
 
Back
Top Bottom