Coet hakufai na Moshi wa mabomu

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
jamani coet hakufai ni mabomu mpaka madarasani utafikiri polisi wanapambana na wahalifu duh hii nchi .....
 
Mbona wakiambiwa kuna ujambazi hawaendi? Serikali ya ajabu sana. Yaani kazi ya polisi TZ ni kwa ajili ya upinzani na wanafunzi
 
Hojamaa waajab kwel kwenye maswala ya kupiga raia wadai haki huwa nanafika mapema kwel na kujitahid kwa nguvu zote mpaka wanashinda kuwazuia wadai haki.

Lkn kwa majambaz na wez huwa hawatokei kbs au wakitokea kwa kuchelewa.
 
Back
Top Bottom