sasa uliposema isiwe chuo kikuu kama UDSM na IFM sijui DIT na vyo vingine umevisahau au tu ulimaanisha hivo viwili?
huwa nikipita pale DIT mbele kuna bango linaonesha wanafundisha Programming languages.
unaweza kufatilia hapa kwenye hii link!
.:: India Tanzania Centre of Excellency in ICT | Tanzania
pia kuna member hapa JF anaitwa
Stefano Mtango huwa ana conduct regular classes za programming hivo waweza mcheki pia.
Mind you kwamba Knowing a Programming language and Knowing to Program a software with it is entirely another phenomenon.
probably,utafundishwa basics za Programming ambazo itabidi ujiongeze na kuzitumia kuwa programmer katika environments mbali mbali!