hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 23
Napenda kutambulisha kwenu Dar-es-salaam SVG Map code challenge ambayo utatakiwa kutengeneza ramani ya Dar -es-salaam katika mfumo wa SVG .Dhumuni la challenge hii ni kuwa na platform ambayo itawezesha watu ambao wapo kwenye Programing Sector kupata fursa ya kuonyesha skills zao na kupata nafasi ya kusaidia our University students kuonyesha wanacho weza kufanya kulingana na skills ambazo wanazo.
Jinsi ya Kushiriki:
Jinsi ya Kushiriki:
- Tengeneza mfumo wako wa SVG Map baada kisha waweza uweka kwenye platform Github au CodePen
- Share nasi link ya kazi ya via this form click here
- Tutashare learning material na introduction ya SVG Map soon.