Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
- Thread starter
- #21
hapo hata raha hamna
Raha ilikuwepo, vimwali vya uswahilini vilijaa vimepiga pamba kama Beyonce. Yaani siku kuu ya eid ukikosa mchumba basi unatatizo la kibaiolojia.
hapo hata raha hamna
Hivi serikali au city, manispaa hawaoni umuhimu wa kuwekeza maeneo kama haya japo wavuja jasho wa enjoy kodi kidogo
daaa yaani kingetokea hapo kisunami kidogo kidogo ingekuwa powa sana aisee.
hapo hata raha hamna
Dunia inaishangaa Tanzania haswa kwenye huo umati utawakuta Walio waislam na wasio waislam wakisherekea pamoja,
Na kipindi cha sikukuu ya Christmas utawakuta walio wakristo na wasio wakristo wakisherekea pamoja..
LOVELY TANZANIA UTAIPENDA TUU..
hivi serikali au city, manispaa hawaoni umuhimu wa kuwekeza maeneo kama haya japo wavuja jasho wa enjoy kodi kidogo
Mkuu hivi vibichi vya uswazi ukijetenga peke yako unahatarisha usalama wako,amini nakuambia na usije kuwaza kujitenga hata siku moja yatakukuta/wakuta makubwa sana!Wananchi wa dar ni kama mimbogo tu,wote uelekea sehemu moja tu.
Wananchi wa dar ni kama mimbogo tu,wote uelekea sehemu moja tu.