Wapi?Naomba ajira boss
Nisimamie miradi bossWapi?
πππHatariii sana mahi, πππ
Nimejifanya siuoni huu Uzi naona wameona nilale roho juu...Mejiii, unataka kaka ako apate pressure? Kwani yeye alisema anapenda eFootball na sio mie.
πππ
Nimelia sanaπMuongo huyo, πππ
Yeye anapenda eFootball tuuh. Woiiih
FalaπNiamini mimi huyo hachomoki, anaharibiwa na wale vijana wa kusema "Ukionyesha unampenda sana atakupanda kichwani" ππ
Hizi taarifa zipuuzwe...Mejii acha kunijaza, nduguyo hanipendii bhana
πππ
Kuruta amka ni muda wa mabio,Kuruta,sasa ni muda wa kupiga mbonji.Asubuhi ni mchakamchaka na fatiki.
Kwanini sasa Ba tamu? πππNimejifanya siuoni huu Uzi naona wameona nilale roho juu...
Na vile sipo romantic nakula za uso soonπ
πππWaache waja bwana si unajua wana nongwa!?
Em sema kweli? πππHizi taarifa zipuuzwe...
Nikusaidie kufuta machozi Ba tamu. πππNimelia sanaπ
Wee em sema kweli? πππHuyu dada anashepu sio mchezo alfu ametuliia hana makuu.
πππ kaa na nduguyo vizuri akueleze, kuna kitu hajakuambia etii??Shemeji ndugu yangu kwako kafika niamini mimi ni vile tu anajizima data halafu anakhofia wasijeunda kamati kukuangamiza, unajua vile wanakutolea udenda humu shemeji ππ
Selikavu
Ni kweli hunaga makuu na nishakuona kitambo tuUmeona eeeh? Sina makuu mie. πππ