BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,327
- 23,534
Bashite nyamaza huna point.Upo nyuma ya muda huyu ni dude kabisa sema ndio wale Ronaldo amehomea bench la ufundi
USSR
Mi Amor.Nyota yako ipo ng'aring'ari hahaaa
Yes lovely one hawayuMi Amor.
Gudi nimekumissYes lovely one hawayu
Master umewasil jamvinMi Amor.
Same here π₯Gudi nimekumiss
Watesi hawatulii, mda wote wako kuchukuchuka,Katumwa π€
Najionea mauza uza tuu. ππNyota yako ipo ng'aring'ari hahaaa
Mngoni gani waogopa new catch au walikuadapti hahaaNajionea mauza uza tuu. ππ
ππππ aaaah wapiii! Siogopi Dudu wala mende, ila nachoka tu kwa kweli.Mngoni gani waogopa new catch au walikuadapti hahaa
Tatizo ni avatar yake na vijimaneno vyake, vinashawishi sana mkuu,na kutufanya tuamini cruiser mkonga wa tembo inapita vizuri tu rough road na kumlazimisha mamba aifanye hii case ni exceptional reciprocalUpo nyuma ya muda huyu ni dude kabisa sema ndio wale Ronaldo amehomea bench la ufundi
USSR
ππππ aaaah wapiii! Siogopi Dudu wala mende, ila nachoka tu kwa kweli.
Huko uliko mbona wapo wengi sana.Me naomba urafiki tu dadaπ«£π«£
ππππ niko live, Niko Lele Lele.Mtani naona leo mambo lele lelee. Japo mwenyewe huzifagilii hizi shengesha.
Maneno yako pendwa hayo Mtani sijui nimeyatumia sahihi. πππ
Dogo anataka tako.πKuna nini tenaa hapa?? Kulikoniii??
Mpe wewe si unalo.Dogo anataka tako.π
πππππππ niko live, Niko Lele Lele.
Mtanii kwanini lakinii??
JF ina heka heka, bila mie watu hawajulikani Mjini. Aloooohπππ
π₯Ήπ₯Ήπ₯ΉHuko uliko mbona wapo wengi sana.