Cocaine seized at UN headquarters in New York

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,369
33,015
A bag containing 16kg (35.5lb) of cocaine was found at the United Nations headquarters in New York last week, police have said.
The drugs were in a bag printed with a version of the UN symbol which arrived at the organisation's mailroom, setting off a security alert.
Spokesman Paul Browne said they seemed to have been delivered by accident.
There was no name or address on the shipment sent from Mexico City through Cincinnati, he added.

BBC News - Cocaine seized at UN headquarters in New York
UN.jpg
UN HQ at NYC

Kweli pushers ni noma wameamua kupeleka hadi UN Hq!!!!
 
Mpaka mzigo unafika headquarters jamaa wa customs wana kesi ya kujibu, au kwa vile ulikuwa na UN symbol basi haupiti kwenye scanners zao? That tells much have been done the same way jamaa wanashtuka leo!
 
Hapo ni mtu alikuwa anatoa taarifa kwa wakubwa wa UN kwa yanayofanywa na maafisa wa UN. Akili kumkichwa. Ametimiza wajibu wake wa kuwa wisleblower.
 
Mkuu, that is the meaning and purposes of "Diplomatic Bags"
 
Hapo ni mtu alikuwa anatoa taarifa kwa wakubwa wa UN kwa yanayofanywa na maafisa wa UN. Akili kumkichwa. Ametimiza wajibu wake wa kuwa wisleblower.

Inawezekana ukawa sahihi only if the one who did it was an agency eg FBI etc but individual cannot afford to burn money worth of 16kg of such cargo.
 
hii inathibitisha kwamba suala la usalama haliwezi kuwa 100% guaranteed; security flaws zitaendelea kuwepo tu no matter how hard the authorities try
 
Back
Top Bottom