Ngoja nitoke hapa Tumaini University kwenye hili janga la TRA,nije nikupe desa!
Maana nakipiga Coca cola kwanza ltd,DSM! Hawa jamaa Residential Area Developer nafanya nao kazi!! In short hiyo tittle yako inatisha maana coca cola ni marekani! Zen wewe unakuja kufanya interview Coca Cola Kwanza Ltd!!
sawa mkuu nakusubiri Nakutakia kila la kheri kwenye hiyo interview yako
sawa mkuu
sorry. MAWAZO UJENZI naomba nisaidie hawa coca interview zao zinafanykia hapohapo mikocheni au . hafu vipi wanalipa vizur. Ahsante mchana mwema
sorry. MAWAZO UJENZI naomba nisaidie hawa coca interview zao zinafanykia hapohapo mikocheni au . hafu vipi wanalipa vizur. Ahsante mchana mwema
We si umepigiwa na wamekwambia uende mikocheni?
whats wrong sasa?
Kama huna ajira huwezi kwa haraka kuhitaji kulipwa hela kubwa cha msingi jenga uzoefu..
Turudi kwenye swali lako sasa:::
Jiandae na written pamoja na oral interview kwa sababu endapo walioapply ni wengi. mfano. 200 uwezekano wa kufanya oral ni mdogo sana lakini kama ni 25 mfano tu hiyo inawezekana kufanya oral.
All the best!
Zama inbox nimekutumia mazaga yote! Jiandae na written kwanza,zen oral itafuata!
Usaili sio mgumu sana just jua brand and mambo mengine madogo madogo! Kitu kinapigiwa coca cola kwanza! Hakuna cha kwenda Diamond Jubilee au Uwanja wa Taifa,
All the best!
hahahaha duh kiongozi unanikumbusha machungu yaani bongo shiida interview uwanja wa taifa kama game ya simba vs yanga. Ahsante have a good evening
Coca cola kwanza wameita watu kwa interview ya pili trh 29 Dec.
Coca cola kwanza wameita watu kwa interview ya pili trh 29 Dec.
walifanya interview ya pili tarehe 29.12.2014 zilikuwa mbili moja oral na wabongo tu, sikuhiyo hiyo ikafanyika nyingine ya mzungu na wabongo afu wakasema watawapigia simi