Cocacola: Resident account developer ( sales representative)

Cocacola: Resident account developer ( sales representative)

Wale waliofanya interview za oral mbili kwa siku hiyo hiyo tujuzane kama wameita watu wakuu manake mwaka ndiyo umeanza hivyo....kuko kimya kabisa

hivi kuna waliozama mzigoni tayari? tujuzane wandugu mana ukimya umezidi.
 
Habar wanajf namshukuru mungu nimeitwa interview ya pili yaani oral Hapo coca cola. Nipeni idea huwa inakuaje .....inafanyka tar 13 saa nne. kama kuna wengne combaya kujuzana
 
Habar wanajf namshukuru mungu nimeitwa interview ya pili yaani oral Hapo coca cola. Nipeni idea huwa inakuaje .....inafanyka tar 13 saa nne. kama kuna wengne combaya kujuzana

mungu awe nawe! wamekupigia simu lini mkuu!?
 
walisema wataanza kupiga simu tarehe 15 kuitwa kazini.

Mkuu kuna vijana wameanza kazi tayari,baadhi yao nimewaon mwenyewe wakijaza form za bima,nssf,na kusign barua ya ajira
 
Back
Top Bottom