Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Yaani ni full kichekesho aisee....Sijui ni nani hasa huwa anapanga ratiba........Mechi ya kwanza nje ya Dar wameanza kwa sare licha ya Nsa Job kupewa kadi isiyo na kichwa wala migu......Ligi ya bongo vichekesho, nilikuwa sifahamu kama Simba mechi zote kachezea hapa Dar
Jinsi Bongo(Tz) ilivyo zaidi ya tunavyoijua hukawii kusikia watu wameutengenezea zengwe uwanja wa CCM Kirumba ukafungiwa kwa michezo ya ligi,game ya Simba na Toto,Toto akiwa mwenyeji ikapigwa Chamazi
Yaani ni full kichekesho aisee....Sijui ni nani hasa huwa anapanga ratiba........Mechi ya kwanza nje ya Dar wameanza kwa sare licha ya Nsa Job kupewa kadi isiyo na kichwa wala migu......
Hii ndio mechi ya kwanza kucheza nje ya Dar......Mechi nyingine zote 6 wamechezea uwanja wa Taifa ilhali Yanga wao wamecheza mechi 4 nje ya Dar(Mbeya,Morogoro,Kagera na Mwanza) na 3 wamecheza Dar........
Mtani, ni kitambo nafatilia comments zako hususani Simba inapokua inacheza nashindwa kabisa kuelewa utaalamu wako ulikojikita hasa katika uchambuzi wa soka.Hii ni live kutoka Tanga,kuna Jamaa yangu kamsikia refa akijitetea mbele ya watu fulani wanaohisiwa kuwa ni wa Simba kuwa alijaribu sana kuwatafutia penalt lakini mazingira hayakuruhusu kabisa ndo maana kaishia kutekeleza 1(la kumtoa mchezaji kwa red card) hilo la penalt likashindikana...ksbb hakuna hata move 1 Simba waliojaribu kuingia kwenye penalt box hata mtu akajiangusha..
Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopoKutolewa kwa Uganda kumetokana na tunda la Simba, Patrick Orchan kukosa penati. Huu ni udhaifu wa mnyama kushindwa kuendeleza vipaji vya wachezaji.
Nini Yanga kuwa na madeni bana.......Wanadaiwa Real Madrid na Man Utd sembuse Yanga!......Katika mechi alizocheza Dar mnajua ni ngapi Simba alikuwa mwenyeji?? Unajua timu zilizotumia uwanja wa taifa kama wa nyumbani?! Au ulitaka Yanga acheze Kagera, arudi dar halafu akacheze tena Mwz, nyie mnaolalamika hata vitu vya msingi si mngelalamika gharama. Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!
Okwi ndo anaingia sasa hv kuchukua namba ya Brian Umwonyi
Acha uongo bana......Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
Nini Yanga kuwa na madeni bana.......Wanadaiwa Real Madrid na Man Utd sembuse Yanga!......
Ukweli ni kwamba mnabebwa sana.....Kuanzia kwenye ratiba mpaka kwa marefa.......
Toto wanawasubiri Mwanza.......
Teh teh!!!....................Ukisikia raha na vijimambo vya Utani wa jadi ndo hivi mtani....Nawauliza hamnipi jibu, okwi na maftah walivyopata red mbona hamkusema simba inabebwa, na ni straight red cards?! Mnakazana kusema Simba inacheza mechi zenu. Na mpira wa simba kweli unakera, ni kama hangaisha *****, ukipanic ni red tu. Simba alikuwa mwenyeji mechi na prisons, JKT oljoro, na mojawapo ya timu za jeshi, bhaaaaas! Mechi na yanga, african Lyon na Ruvu hakuwa mwenyeji.
Acha uongo bana......
Mbwana Samatta kakuzwa na timu ya mtaani na baadae kaendelezwa na African Lyon......Alipotoka Lyon kaenda Simba baada ya kupewa gari,akiwa Simba akapata nafasi ya kucheza Champions league TP Mazembe wakamuona.......Simba kacheza msimu mmoja tu na hakuumaliza....Kuna kuendeleza kipaji hapo.......
Ungeniambia mmeendeleza vipaji vya akina Jonas Mkude, Edward Christopher na Ramadhan Singano ningekuelewa, sio kwa Mbwana Samatta......Ni sawa na leo Yanga wajivunie eti wameendeleza kipaji cha Nonda Shaban 'Papii' ilhali alishaendelezwa toka akiwa Burundi.....
Teh teh.......Hahaaa, unapagawa sasa, Nani kamuongelea Samata?? Au umekariri kuwa samata ndo kauzwa mil 150. Hata Ochan kauzwa bei hyo. Tunamzungumzia Ochan. Na kama kucheza msimu mmoja haina tija unamzungumziaje ochan kama mchezaji wa simba? Kwa nn usiseme tp mazembe alikokaa misimu miwili.
Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
Teh teh teh bado Moro na sokoine Mbywe pale kirumba tuna karne hatujawai ondoka na point3, mie nikipaskiaga kirumba natamani nife
Yanga inapo fungwa mbona hamsemi inauza mechi ikishinda eti inanunuaNawauliza hamnipi jibu, okwi na maftah walivyopata red mbona hamkusema simba inabebwa, na ni straight red cards?! Mnakazana kusema Simba inacheza mechi zenu. Na mpira wa simba kweli unakera, ni kama hangaisha *****, ukipanic ni red tu. Simba alikuwa mwenyeji mechi na prisons, JKT oljoro, na mojawapo ya timu za jeshi, bhaaaaas! Mechi na yanga, african Lyon na Ruvu hakuwa mwenyeji.
Kama akina shaban Nonda!Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
WANGEpigwa, hahaa, kauli zinafurahisha hizi
Halafu rambirambi ya Mafisango hamjapeleka mpaka leo
Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?...... Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!