COASCO wameanza kuita kwa ajili ya interview

lovely love

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
337
296
Zile nafasi walizotangaza January za assistant auditorII ndio wameanza kuita sasa hivi. Mimi wamenitumia email jioni hii na attachment ya majina.interview inafanyikia Dodoma 24 &25 june
 
kwa aliyewahi fanya interview ya hawa jamaa atusaidie kujua maswali wanayotoa mim pia nimeitwa!
 
Zile nafasi walizotangaza January za assistant auditorII ndio wameanza kuita sasa hivi. Mimi wamenitumia email jioni hii na attachment ya majina.interview inafanyikia Dodoma 24 &25 june
mkuu nimetumiwa sms usahili umeahirishwa vp ni kweli, tujuzane
 
Back
Top Bottom