Mashoga wanaotupa msaada kwenye wanaume lijali ambao ni masikinihawa mashoga wanateteana sana.
umasikini usikufanye nyeusi uiite nyeupe.Mashoga wanaotupa msaada kwenye wanaume lijali ambao ni masikini
CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel
Televisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mwandishi na mchambuzi wake kwa sababu ya kukosoa siasa za kikatili za utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Televisheni ya CNN imechukua hatua hiyo baada ya Marc Lamont Hill kuhutubia ukumbi wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina ambako alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina.
Baada ya hotuba hiyo televisheni ya CNN ilitoa taarifa ikisema Marc Lamont Hill amesimamishwa kazi. CNN haikutaja sababu ya kuchukuliwa hatua hiyo.
Katika hotuba yake kwenye Umoja wa Mataifa, Mark Lamant Hill ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Temple huko Philadelphia alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina kuanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania. Vilevile alisema kuwa anaunga mkono uhuru wa Palestina na kukosoa vikali sera na mienendo ya Israel.
Baada ya hotuba hiyo makundi yanayoiunga mkono Israel nchini Marekani yalianzisha hujuma na mashambulizi makali dhidi ya Mark Lamant Hill na kuitaka televisheni ya CNN na Chuo Kikuu cha Temple kumfuta kazi.
my take; uzayuni umeikalia washington kimabavu
80% haupo serious....Sio uzayuni unaakosea, 80% ya wazungu USA ni wayaudi, sasa ukianza kuikandia Israel ndani ya Washington ni kwamba unataka kufa.
CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel
Televisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mwandishi na mchambuzi wake kwa sababu ya kukosoa siasa za kikatili za utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Televisheni ya CNN imechukua hatua hiyo baada ya Marc Lamont Hill kuhutubia ukumbi wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina ambako alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina.
Baada ya hotuba hiyo televisheni ya CNN ilitoa taarifa ikisema Marc Lamont Hill amesimamishwa kazi. CNN haikutaja sababu ya kuchukuliwa hatua hiyo.
Katika hotuba yake kwenye Umoja wa Mataifa, Mark Lamant Hill ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Temple huko Philadelphia alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina kuanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania. Vilevile alisema kuwa anaunga mkono uhuru wa Palestina na kukosoa vikali sera na mienendo ya Israel.
Baada ya hotuba hiyo makundi yanayoiunga mkono Israel nchini Marekani yalianzisha hujuma na mashambulizi makali dhidi ya Mark Lamant Hill na kuitaka televisheni ya CNN na Chuo Kikuu cha Temple kumfuta kazi.
my take; uzayuni umeikalia washington kimabavu
uko shule ulienda kusomea ujinga80% ya wazungu USA ni wayaudi
Tatizo lako unatumia makalio kufikiri. Uliza utaambiwa.uko shule ulienda kusomea ujinga
kijana wetu tuende naye taratibu hizi st kayumba ndo za kulaumuuko shule ulienda kusomea ujinga
nimemjibu apo naona kaamua kunifananisha na 'ta/ko'kijana wetu tuende naye taratibu hizi st kayumba ndo za kulaumu
nimemjibu apo naona kaamua kunifananisha na 'ta/ko'
Tatizo lako unatumia makalio kufikiri. Uliza utaambiwa.
80% duh, basi wayahudi ni wengi dunianiSio uzayuni unaakosea, 80% ya wazungu USA ni wayaudi, sasa ukianza kuikandia Israel ndani ya Washington ni kwamba unataka kufa.