CNN Poll: Trump anaongoza

Unamzungumziaje Magreth Thatcher, Julia Gillard, Angel Markel nk
 
RAIA wa Mexico ambao ni wapiga kura ni wengi sana ....nchi marekani....
Ni kweli Hispanics wanawazidi blacks kwa population hasa maeneo ya California Arizona New Mexico Texas lakini pia kwenye hayo maeneo trump nae ameonesha kuongoza kwenye primaries nyingi tu

na saivi trump amevamia viongozi wa minorities na amegain momentum nzuri tu juzi alikua Detroit kwenye black church fulani na Ben Carson hii movement imeamsha hisia kubwa kwa people of colour kuonyesha support yao kwa trump. Kitu ambacho Clinton hawezi hata kuingia inner city na kuongea na black communities mpaka saivi.
 
Wako wachache wako strong kwenye uongozi na wako vizuri pia asili ya familia zao pia na misimamo ya nchi husika

Kuongoza nchi kunahitaji karisma ya hali ya juu na akili kuliko hisia zako
Mimi sidhani kuwa Mwanamke kunapunguza uwezo wako wa kuongoza, labda sana unaowaongoza wasikuamini.

Unaweza kufanya mlinganisho na akina Bokassa, Idd Amin, Hitler, Mobutu, Bongo nk. Walikuwa wanaume lakini madudu waliyofanya yameacha historia mbaya sana.
 
Kwani kinachotegemewa ni kipi?
 
You made my day mkuu.Wengine wale wa mlengo wa ki feminist watakupinga lkn hii ni fact.
 
USA siamini kama wako tayari kupata rais mwanamke
 
Uzuri wa wapiga kura wa Marekani hufuatilia mambo na kuchanganua kabla ya kuamua hivyo the more wanavyopata infos za mgombea ndiyo wanavyobadili misimamo yao.

Hapa kwetu mtu anaamua miezi hata kumi kabla na habadilishi msimamo hata asikie mgombea huyo ni shoga na ushahidi ukawekwa.

Utasikia,"nitalipigia hata jiwe".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…