Mkuu ni wiki Jana hii kitu vipi bado hakuna mpya?Nilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton.
Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump anaongoza. Kilichonishangaza pia ni kuwa katika category zote Hillary ameshuka sana baada ya Convetion. Na zaidi ya hapo ni spending ya Hillary ya 120 milioni kwenye ads wakati Trump ni 20 milioni tu Usd.
Kama trend ni hii hadi Novemba inawezekana tukashuhudia kisichotegemewa na wengi.
Cc nguruvi 3, BAK, Koba, kui
Baado mkuuHakuna asiyefahamu kwamba Trump ni raisi mtarajiwa...🙄
wacha DT ashinde bana afu awatoe nduki akina Mwanakijiji ili tuone wataandika nini kuhusu kipenzi chao CCM wakiwa kibarazani pale kwa Mtogole....Nilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton.
Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump anaongoza. Kilichonishangaza pia ni kuwa katika category zote Hillary ameshuka sana baada ya Convetion. Na zaidi ya hapo ni spending ya Hillary ya 120 milioni kwenye ads wakati Trump ni 20 milioni tu Usd.
Kama trend ni hii hadi Novemba inawezekana tukashuhudia kisichotegemewa na wengi.
Cc nguruvi 3, BAK, Koba, kui
Wazungu by Nature ni wabaguzi sana ila huwa hawauzungumzi hadharani sasa trump kasema waziwazi hivyo anasuport kubwa kutoka kwa wazungu wezanzakeNilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton.
Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump anaongoza. Kilichonishangaza pia ni kuwa katika category zote Hillary ameshuka sana baada ya Convetion. Na zaidi ya hapo ni spending ya Hillary ya 120 milioni kwenye ads wakati Trump ni 20 milioni tu Usd.
Kama trend ni hii hadi Novemba inawezekana tukashuhudia kisichotegemewa na wengi.
Cc nguruvi 3, BAK, Koba, kui
Mimi mwanamke lakini cheo kikubwa kama urais hapana ka kweli...!Kwa hiyo hamumkubali Mwanamke mwenzenu?