In sha Allah panapo majaaliwa US nnakwenda kama kawaida.
Waislam tunaamini katika qadr. Jifunze.
Qur'an 8:30
Na walipokupangia mpango walio kufuru wakufunge, au wakuuwe, au wakutoe. Wakapanga mipango yao, na Mwenyezi Mungu akapanga yake. Na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa mipango.