CMS(Wordpress) against normal websites!

CMS(Wordpress) against normal websites!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Wakuu!
Hivi inawezekana kudesign normal websites using html,css, and php then niweze pia kuendelea kubadili muonekano wake kwa kutumia wordpress? Yaani mfano niweze kuweka header, footer, menu kwa kutumia wordpress?
Pia nataka nijue nitaintergrate vipi an existing website with wordpress ili niweze kuchange baadhi ya vitu kwa jinsi ninavyotaka mimi ambavyo vina ugumu kwenye kucode!
 
Inawezekana, ili uweze kufanya kama unavyotaka inabid ufuate instructions zitakazowezesha site yako ku integrate na cms. Maelekezo haya utayapata kwenye website yao, pia unaweza ku search "how to create WordPress themes"
Wanaelekeza jinsi gani ya kucode modules mbali mbali, header footer, functions nk... Pamoja na hayo itakulazimu kucode mwenyewe hizo functionality unazozihitaji. Ili uelewe zaid unaweza tafuta tutorials za lynda, "lynda. com php with mysql essentials training" Wanaelekeza how to build a content management system from scratch bila kutumia cms. Hizi unaweza zipata kwenye torrent sites ukazidownload.
 
Inabid uiandike hiyo website yako kama WP Plugin!
 
Wakuu!
Hivi inawezekana kudesign normal websites using html,css, and php then niweze pia kuendelea kubadili muonekano wake kwa kutumia wordpress? Yaani mfano niweze kuweka header, footer, menu kwa kutumia wordpress?
Pia nataka nijue nitaintergrate vipi an existing website with wordpress ili niweze kuchange baadhi ya vitu kwa jinsi ninavyotaka mimi ambavyo vina ugumu kwenye kucode!

it is actually easy, you just need to understand the wordpress loop, plus its templating system that's it, you can do it without writing your own php code, you just copy the code from the default theme and link it to your templates, u need to read some tutorials as i can't explain everything here, good luck.
 
The guy asked two questions. Many have seen one (including myself).:ranger:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom