CMAG Yaomboleza Kifo cha Hafidh Ameir

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
881
Reaction score
774
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Mawaziri ya Jumuiya ya Madola (CMAG) wamesimama kwa dakika mbili kutoa heshima za mwisho na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hafidh Ameir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Tukio hilo limefanyika wakati wa mkutano wao uliofanyika Septemba 20, 2026 jijini New York, Marekani. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CMAG, Mheshimiwa Chris Fearne, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ulaya wa Malta.
 
so what??
 
hawa CMAG hawajui kuwa KIFO NI KIFO?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…